ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,362
- 4,101
Wananchi wamemchoka Mh Abood na misaada yake ya kuzika watu.kuna watu hutafuta clip ya Mbunge wao anachochangia bungeni hawakioni.
Tunajua wajumbe wakipitisha jina ameshinda kwa vile ni CCM,Sasa kwa mimi nashauri wamlete mtu mwengine atupambanie kwenye barabara za lami mjini, mjini lami mashimo madogo dogo, mji mtandai wa lami ni mdogo, huu mradi wa Barabara ya Tungi ni wa 2022/2023, Je 2023/2024 na 2024/2025 zilipatikana kilomita ngapi za lami?
Tuna imani kwa makusanyo ya TAMISEMI na TRA wakieleweshwa na mbunge mzuri wawe wanatenga kwa TARURA angalau KILOMITA 10 kwa jimbo kwa mwaka, kwa miaka 5 tungekuwa na mtandao mpana tu.
CCM kama wanamwonea aibu basi wampe viti maalum wazazi na iyo misaada ya usafiri wa kuzika aendelee nayo yu lakini watuletee mtu ambaye anajua kupenya na mwenye kujua tufanye nini mji ufunguke.Leo hii bong'ola utelezi mtupu hata kuulizia changarawe hakuna. Chuo cha Jordan hakijaunganishwa na lami kutokea Bigwa.
Msamvu ndio eneo lenye uwekezaji mkubwa wa mahotel na bar, ingepaswa papendezeshwe pafungue zaidi.
Soko la mawenzi ni chafu sana, ila barabara ya lami imejengwa mafiga kuelelea chamwino badala ya MAWENZI.