Road Map yao ni namna ya kuiba chaguzi nzima nzima kwa kutumia Polisi na TISS...hapa SAA hizi wenzio wanawaza chaguzi tu. Nothing elseKwanini CCM isiweke Road Map kwenye masuala ya uchumi wa Tanzania ili kila awamu ifuate sera moja katika kujenga uchumi. Hii itasaidie wafanyabiashara na wawekezaji kuwa na imani serikali yeyote ya CCM katika kufanya biashara Tanzania
Haaa road map 2025 tunakwenda na mwanamke.Road Map yao ni namna ya kuiba chaguzi nzima nzima kwa kutumia Polisi na TISS...hapa SAA hizi wenzio wanawaza chaguzi tu. Nothing else
Umeamini sasa? Hahahah umeiweka vyemaHaaa road map 2025 tunakwenda na mwanamke.
Road map yetu ukitukosoa tu we Gaidi.
Majirani zetu Kenya toka wapate uhuru zimepita awamu tatu lakini sera zao za kiuchumi hazijabadilikaSwali fikirishi je tuna mfumo wetu wa kiuchumi wa Kitaifa ambao wanasiasa hawatakiwi kuuchezea? . Do we have, a National economic structure, that can not be tempered by any regime,? .What we need is a National economy and social development strategy of an existing government and National Economic structure of the Nation
CCM ina makundi 2 yanayopingana ..Janjaweed ya Sukuma Gang na Ccm masilahi ya akina Jk, etallCCM wamegota, fikra zimefika mwisho!
Wamebaki na bunduki na risasi tu, lakini hawana mission zozote tangible za kutuinua isipokuwa kuendelea kututia umasikini tu
CCM ,imeua biashara,asilimia 80% ya mafanikio kwenye bi ashara yoyote ile yanamtegemea mjasiriamali ,asilimia 20% ni yatakayo/yanayo mzunguka( the entrepreneur and his environments) kwenye hiyo asilimia 20 ,kuna utashi wa kisiasa,mfumo jumuishi wa maisha ya MTU mmoja mmoja na mengine ambayo yako nje la kusudio la binadamu( politics,social demographic variables and physical factors)Majirani zetu Kenya toka wapate uhuru zimepita awamu tatu lakini sera zao za kiuchumi hazijabadilika
Mimi ni mtaalamu wa elimu ya ujasiriamali ,kilichoua biashashara awamu ya 5 siyo mitaji wala ukosefu wa elimu ya ujasiriamali ,ni Sera ambazo hazina tija na Unyumbu (uncertainty policies and herding behaviour) .Uchumi umeanguka ...Kipato Cha wananchi kimeshuka.. biashara zimedorora kwa Sababu purchasing power imepungua.
Tuna Vivutio vya utalii vingi, vizuri sana...Tumekwama kuvutia watalii. South Africa wanayo million 10 tourists na zaidi, Morocco...wanayo beach peke yake...
Tena tunakuwekea mashahidi ambao hawana kumbukumbu watakaoHaaa road map 2025 tunakwenda na mwanamke.
Road map yetu ukitukosoa tu we Gaidi.
Mengine yapo njee ya uwezo wao.Wasamehe TU Bure, ila tuitake katiba mpya na tuwatake wasiwe kikwazo Cha upatikanaji wake.Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita...
Expecting result from what you know
Example is Minister of Finance and another of AgricultureMimi ni mtaalamu wa elimu ya ujasiriamali ,kilichoua biashashara awamu ya 5 siyo mitaji wala ukosefu wa elimu ya ujasiriamali ,ni Sera ambazo hazina tija na Unyumbu (uncertainty policies and herding behaviour) .
Unyumbu nipale watu wachache tuliowapa dhamana wanapojitoa ufahamu (an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of self-Absorbed group or fearing their leaders