LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,727 Reaction score 13,466 Aug 13, 2024 #1 Chadema mlipoipotezea ifanye siasa zake ndio mliifanya watu waendelee na kazi zao hata umaarudfu ulianza kupungua ila hii kamata kamata mara mnawapiga ndio mnawarudisha rasmi kupata wafuasi na huruma ya wananchi, mnaipa umaarufu Chadema pasipo kujua
Chadema mlipoipotezea ifanye siasa zake ndio mliifanya watu waendelee na kazi zao hata umaarudfu ulianza kupungua ila hii kamata kamata mara mnawapiga ndio mnawarudisha rasmi kupata wafuasi na huruma ya wananchi, mnaipa umaarufu Chadema pasipo kujua
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,823 Reaction score 17,375 Aug 13, 2024 #2 Yaan sisi Chadema ndio Kiki wenyewe,Kaeni makini kabisaaa