CCM Mna mambo ya kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mna mambo ya kike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chigwiye, Mar 7, 2011.

 1. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  simaanishi kuwapuuza wanawake,lakini asili ndivyo ilivyo.
  CDM wameuwasha moto kwa hoja safi za kisiasa na zenye mashiko kijamii na kiuchumi,anaamka mtu toka kunakojulikana anatoa vitisho,visingizio,na dalili za waga.CCM kwanini msiitishe maandamano,mikutano au vyovyote mtakavyooita ili kuuzima moto huo kwa hoja,mkijibu kilichosemwa na CDM.Njooni ktk uwanja wazi wa mapambano tusemezane kwa amani,wananchi tutachagua pumba na mchele.Tabia zenu za kike kulialia,mnataka tumia nguvu badala ya hoja,inatudhihirishia mmeufyata na hamna jipya la kuwaeleza wananchi.Mnajishtukia tuu ooooh CDM,Wanataka kupindua nchi,nani kawambia?Hatujaona uvunjifu wowote wa amani ktk maandamano yao,ila pale tu mnapoamua kuingilia democrasia kwa kutumia askari wenu.Tunajua mnaogopa hakuna atakaye hudhuria maandamano na mikutano ya CCM,na hapo ndipo mtaona kiasi gani wananchi hawawahitaji.TUNASUBIRI MAANDAMANO YENU,ILI TUWADHIHIRISHIE KUWA HATUWAPENDI,HATUWATAKI,na tunawasubiri 2010 tuwan'goe,hatutatatumia ya libya wala ya tunisia,msiogope,njooni ulingo wa democrasia wananchi tutaamua.
   
Loading...