- Thread starter
- #21
Hebu tuambie faida alio ileta huyo jiwe.Unapomuona mtu anayekutuhumu kwa maovu uliyonayo, bila kuangalia mazuri uliyonayo, hali ya kuwa yeye anajiona hana maovu ni dhahiri mtu huyo anachokitafuta ni faida binafsi
Hebu tuambie faida alio ileta huyo jiwe.Unapomuona mtu anayekutuhumu kwa maovu uliyonayo, bila kuangalia mazuri uliyonayo, hali ya kuwa yeye anajiona hana maovu ni dhahiri mtu huyo anachokitafuta ni faida binafsi
Ccm kimewafanyia watz mema mengi sanaCCM wanajaribu kuficha uchi wao kwa majani ya mti bila kuelewa kuwa jua likiwaka hayo majani yatanyauka na uchi wao utaonekana.
Kosa kubwa sana mlilofanya ni mtindo wa kuendeasha siasa zenu kibabe; mliwanyanyasa washindani wenu kwa kiwango cha hali ya juu mkidhani kuwa Watanzania walikuwa hawayaoni hayo mnayoyafanya.
Mkaendesha nchi hii kwa kuvunja Katiba huku mkidhani wananchi ni vipofu na hawayaoni hayo mnayotenda.
Mkawa na kiburi cha kujiamulia mambo makubwa yanayohusu nchi yetu bila ya kufuata taratibu ambazo zimewekwa kwa mujibu wa Sheria.
Leo nkiambiwa ukweli mnakimbilia kutoa kauli na madai kuwa hizo shutma ni kauli za kichochezi. Hivi mnadhani watanzania wa leo bado hawajui kupambanua kati ya kauli za kweli na za kichochezi? Kubalini tu kuwa umefika wakati sasa mvune faida ya maovu yenu.
Washindani wenu wamewavua nguo msijaribu kuwakimbiza aibu ya uchi wenu itazidi kuonekana. Ni bora nkubali kuchutama ili mambo haya yaishe.
Hahaha! Unanikumbusha mzee James LembeliUpepo umevuma kidogo tu, nyeti za kuku hadharani.
Ndiyo maana wanapanga mbinu za kumuengua kwani akishiriki kampeni watapata tabu sana.Hivi Tundu Lissu akiongeza kidogo tu hiyo "spidi" yake, mambo yatakuwaje huko CCM?
Si ndiyo wataanza kuchanganyikiwa kabisa?
Kwani kampeni zimeshaanza? Ngojeni tutawavua nguo mchana kweupeeeeeewatumishi wa uma binafsi na serikalini hawazidi 2.5ml. wafanya biashara wenye hasira nchi hii hawazidi 2.5ml.
kati yao hapo wote hatujajua wasioa na kadi ni wangapi? wafuasi wa pole pole, ACT, CUF ni wangapi?
Mtaji wa cdm ni vijana wa chuo wasio na ajira, waliokosa mikopo, walifukuzwa kwa vyeti feki, waliovunjiwa nyumba kimara nk. wekezeni nguvu huko ndio kuna uhakika.
Sasa bahati mbaya mgombea wenu anamparua Magufuli na kuacha kuwaandaa wapiga kula ni nini amewaandalia endapo atashinda. akidhani kila mtu anajua yeye alivuliwa ubunge na ndugai amuonee huruma.
Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
havuliwi nguo mtu, naona watu tu wakiitikia oyeeeeeeeeKwani kampeni zimeshaanza? Ngojeni tutawavua nguo mchana kweupeeeeee
Sijui hata ualimu aliupataje uyo jamaa. Raisi ana maneno machafu kama makondakta wa stendi au vijana wahuni wa vijiweniYaani Rais wa nchi anasimama hadharani huku anatafuta Mhindi kishamba anamwambia mama wa kitanzania eti "unataka upanuliwe wapi? " anarudia zaidi ya mara tatu maneno ya aibu na udharirishaji hayo!!
Ndio na akili zangu timamu nikampigie kura kiongozi wa hovyo namna hiyo?
Aisee😂Yaani Rais wa nchi anasimama hadharani huku anatafuta Mhindi kishamba anamwambia mama wa kitanzania eti "unataka upanuliwe wapi? " anarudia zaidi ya mara tatu maneno ya aibu na udharirishaji hayo!!
Ndio na akili zangu timamu nikampigie kura kiongozi wa hovyo namna hiyo?
Unaelewa nini kuhusu faidaHebu tuambie faida alio ileta huyo jiwe.