Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kuna bomba lilikua halijawahi funguliwa, na siku zote tuliamini ni bomba la maji safi kwa jinsi lilivyo kua limepakwa rangi nzuri.
Japo na uhakika mtu mmoja alikua anajua ila kwa sababu zisizo eleweka akawapa CCM funguo za hilo bomba la maji taka badala ya maji safi.
Lilipo anza lilianza kutoa maji safi, lakini kadri siku zinavyo kwenda maji yakazidi kupoteza radha na rangi hadi muda huu limesha anza kutoa uchafu kiasi kwamba hata majirani wanakereka na harufu mbaya.
Tunawasiwasi siku litaanza kumwaga vinyesi na hapo si siku nyingi maana hata sasa kuna siku linamwaga vinyesi vinanuka balaa.
Na baadhi ya funguo zimepotea ambazo wana CCM walitegemea wazitumie kwa kupitia watalaam wao 2020 kulifunga bomba hilo.
Zimebaki funguo za aina moja tuu ambazo nazo zipo kwa mjumbe wa nyumba kumi, ambazo ili kuzitumia inategemea na nguvu za bomba maji taka.
Watanzania tuombe Mungu mmiliki pamoja na bomba waondolewe kabisa hapa mtaani maana hakuna kazi tunayofanya zaidi ya majanga yanayo tokana na uchafu wa bomba hili.
Tabutupu Street.