mkuu usiulize ccm, muulize jk. maana alikuja na majina kwenye wallet yake, membe akawa amepata vyema nyingi sana na kuon goza katika 5 bora, walipo pewa nec kusahihisha upya waka gundua jk kamuongezea marks mdogo wake, waka weka marks za halali 120 na yeye kushika mkia