1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na mlichopata hatuju
Lakini kwa upande mwingine nchi imenufaika na makosa yenu maana sasa kitanuka kweli kweli