tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Waliwaza kutukomesha watanzaniaHizi tozo mpka leo huwa najiuliza sijui waliwaza nini
Na bado zitakuja nyinginezoHizi tozo mpka leo huwa najiuliza sijui waliwaza nini
Wao waliamini katika kanuni ya "ceteris peribus" kwamba kila kitu kitabaki kama kilivyo (e everything remain constant) yaani watu hawataachana na miamala baada ya kuweka makato maradufu, kwamba watakusanya fedha nyingi kisha watazipeleka huko vijijini walikokusudia.Hizi tozo mpka leo huwa najiuliza sijui waliwaza nini
Juzi Gesi imepanda, ghafla wamejishtukia, wamepunguza.Na bado zitakuja nyinginezo
Hakika, warudi nyuma wajitafakari.Waliwaza kutukomesha watanzania
Ninaunga mkono hojaKuna mambo ambayo Serikali na Bunge ambavyo kwa asilimia kubwa kumejaa wanachama wa CCM, yalikosewa na sio mbaya kukubali, kuomba Radhi na kuanza upya. Mfano...
Ni baada ya kuharibu uchaguzi na kujipa mamlaka kwa nguvu, sasa wanaona wanao uhuru hata wa kutuamulia tupumue mara ngapi kwa dakika.Wao waliamini katika kanuni ya "ceteris peribus" kwamba kila kitu kitabaki kama kilivyo (e everything remain constant) yaani watu hawataachana na miamala baada ya kuweka makato maradufu, kwamba watakusanya fedha nyingi kisha watazipeleka huko vijijini walikokusudia. LAKINI matokeo yake wananchi wengi wameachana na miamala ya simu, vijana wengi wa vibanda vya miamala wamekosa vipato na ajira, hivyo hayo mapato yaliyokusudiwa yatashuka, na Lengo litaathirika.
Na hapo ndipo suala la Katiba mpya linapokuja, ili hayo Mamlaka yawekwe sawa.Ni baada ya kuharibu uchaguzi na kujipa mamlaka kwa nguvu, sasa wanaona wanao uhuru hata wa kutuamulia tupumue mara ngapi kwa dakika.