CCM MKOA WA ARUSHA KUJAZA NAFASI WAZI

Urio kimiroI

Senior Member
Jan 2, 2016
146
74
kesho ndiyo mwisho wa kuchukua fom za kugombea nafasi mbali Mbali ndani ya ccm na uvccm

lowasa alipo hama alihama na mwkt wamkoa katibu mwenezi mkoa na mwkt wa uvccm mkoa na mjumbe wa baraza mkoa

chanzo radio Arusha one
 
BIASHARA YA SIASA.UKIACHA UMEWAPA ULAJI WENGINE. HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA JUENI KUWA NCHI NA VYAMA NI MALI YA WOTE ..! HATUTISHANI NA WANAOHAMA.
 
Back
Top Bottom