dhambi hii wanayoifanya itawatafuna kabla hata ya uchaguzi mkuu -- amini nakwambia mchakato wa kumpata mgombea urasi wa tiketi ya ccm 2015 hapo ndipo itakuwa hitimisho (RIP) ya chama hiki.
Mwalimu aliwahi kusema, "ukila nyama ya mtu basi utaendelea tu", sasa hii dhambi wanayoifanya kwa CDM, pia imo ndani ya chama, inakula taratibu, chama hakiko salama kabisa, itafikiana wakati wataanza kutoana kucha wao kwa wao. tutaona mengi before 2015.
Hata hizi habari za eti mwakyembe katoa tenda kinyemela kwa kampuni ya ccm unafikiri zinafikaje CDM? wao hao hao wanakimbilia upande wa pili na kutoa data zote.