Naomba mnijibu kwanini kila kukicha mnakuja na jambo jipya la kutaka kudhurumu haki za watanganyika.
1.Juzi amekuja mjumbe wa nyumba kumi akiwa ameagizwa na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya same ili akusanye fedha kwa ajili ya ujenzi wa maabara ambayo ni Tsh.5000 kwa kila kaya sikupinga lkn nilimwambia kama ipo kisheria nampa pesa anipe risiti ili nionekane nimeshachangia akabwabwaja akakosa hoja ya msingi akachapa lapa na pesa akakosa
2. Leo hii asubuhi amekuja tena na maagizo kuwa mkurugenzi kamwagiza kupitia ofisi ya mtendaji wa kata kuwa afanye sensa ikiwa ni pamoja na mjina yetu yote na tarehe za kuzaliwa hapa nilichokiona mimi ni kwamba kuna mikakati ccm wanaandaa kwa ajili ya chaguzi zinafuata ikiwa ni kupata pesa za kuhongo pamoja na kufoji vitambulisho kwa ajili ya kupigia kura kutokana na majina yetu waliochukua
Angalizo kwa UKAWA
Huweni makini sana na hawa CCM ni watu wa janjajanja sana ambao si wakupuuzwa hata kidogo kwa kila hatua wanayofanya kwani wanaandaa mbinu za kuendelea kutuibia ndani ya taifa letu kwahiyo wanatafuta kila mbinu kuanzia serikali za mtaa hadi uchaguzi mkuu hayo mambo kwanini wasiweke yawe wazi kwa umma tujue kua hizo ni taratibu za kiserikali badala ya kuja kimyakimya.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA