Mtu kumuita mwenzake Pumbavu wakati huo hajui kesho ataamka ama la ni kiwango kilekile alichoambiwa tajiri na Bwana Yesu baada ya majivuno na kiburi kuwa" hujui kesho utakufa"????
Maana yake ni kwamba Tengeneza sasa maana huijui kesho yako
Hoja ni kwamba kama wewe unataka kuonyesha hisia na uwe huru kuzionyesha.....
Vilevile na kwa kiwango kile kile cha uhuru Ruhusu mwingine naye kuonyesha hisia zake maana huna hati miliki ya hisia...
Pole sana mara nyingi ukweli unaumiza lkn utafanye ndugu yangu...Face the reality men