CCM Maji ya shingo Kinondoni, Kailima aanza kutumika...

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,238
Hayo yamebainishwa na Benson Kigaila alipokuwa akiongea na waandishi wa habari .

Kuna malalamiko kutoka kwa mtu asiyejulikana ambayo yamewasilishwa kwa Tume ya uchaguzi kuhusu maandamano ya Chadema yaliyofanyika huko Kigogo Mbuyuni na kampeni za nyumba kwa nyumba , kwamba yalifanyika nje ya muda uliopangwa , hata hivyo tume haijamtaja mlalamikaji kama sheria inavyotaka , huku ikishikilia kwamba ni mtu asiyejulikana .

Chanzo - Kigaila akiongea na EATV .

Ukweli - Kwa ccm kumteua msaliti Mtulia hali imekuwa tete vibaya sana !
 
Mmeanza tena kuilalamikia tume?
Si mlisusa?Kilichowarudisha ni kipi?
Tulieni mtulia awatulize mnyolewe kipara hiko kwa chupa!
 
Hayo yamebainishwa na Benson Kigaila alipokuwa akiongea na waandishi wa habari .

Kuna malalamiko kutoka kwa mtu asiyejulikana ambayo yamewasilishwa kwa Tume ya uchaguzi kuhusu maandamano ya Chadema yaliyofanyika huko Kigogo Mbuyuni na kampeni za nyumba kwa nyumba , kwamba yalifanyika nje ya muda uliopangwa , hata hivyo tume haijamtaja mlalamikaji kama sheria inavyotaka , huku ikishikilia kwamba ni mtu asiyejulikana .

Chanzo - Kigaila akiongea na EATV .

Ukweli - Kwa ccm kumteua msaliti Mtulia hali imekuwa tete vibaya sana !
.....
.....watajibeba Chadema mwendo mdundo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom