Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
- Thread starter
-
- #161
Sawa mkuu tumekusikia kama uko huko nasikia Nchemba ana kesi ya kubaka mke wa mtu una taarifa zaidi tuhabarishe na hilo.Kama tunajifurahisha ni sawa ila kama ni ukweli CCM wamekuwa wakipata watu wengi sana. Juzi Mwigulu alikuwa Nkinga bila hata mgombea alikuwa na mkutano mkubwa mno kuliko alifanya Dr Slaa siku tatu zilizopita. Ulikuwa mkutano mkubwa mno mpaka nikashangaa wamefuata nini. Halafu huyo jamaa ana namna ya kuongea kwa namna mpaka watu wanaamini, anaharibu sana kama pale ali water down hotuba yote ya slaa yaani kama kuna mtu amebaki na yale ya slaa ni aliyemwelewa tu wengine walibadilika sana mpaka wengine waka diriki kusema Mwigulu agombee urais. Nimemsikiliza anawavutia kwa kutoa mifano kwa kisukukuma, kinyaturu, kinyiramba, kinyamwezi halafu watu wetu bwana wanamshangilia kweli. Pia kafanya mkutano mwingine mkubwa simbo, nanga na nyandekwa na amebadilisha watu kweli. Ana mvuto fulani wa maneno na staili ya kuhutubia watu hawachoki. Akizunguka kote jimbo litakuwa gumu kutabiri tofauti n mtoa thread alivyosema. Ngoja niwatafutie picha
<br />Kama tunajifurahisha ni sawa ila kama ni ukweli CCM wamekuwa wakipata watu wengi sana. Juzi Mwigulu alikuwa Nkinga bila hata mgombea alikuwa na mkutano mkubwa mno kuliko alifanya Dr Slaa siku tatu zilizopita. Ulikuwa mkutano mkubwa mno mpaka nikashangaa wamefuata nini. Halafu huyo jamaa ana namna ya kuongea kwa namna mpaka watu wanaamini, anaharibu sana kama pale ali water down hotuba yote ya slaa yaani kama kuna mtu amebaki na yale ya slaa ni aliyemwelewa tu wengine walibadilika sana mpaka wengine waka diriki kusema Mwigulu agombee urais. Nimemsikiliza anawavutia kwa kutoa mifano kwa kisukukuma, kinyaturu, kinyiramba, kinyamwezi halafu watu wetu bwana wanamshangilia kweli. Pia kafanya mkutano mwingine mkubwa simbo, nanga na nyandekwa na amebadilisha watu kweli. Ana mvuto fulani wa maneno na staili ya kuhutubia watu hawachoki. Akizunguka kote jimbo litakuwa gumu kutabiri tofauti n mtoa thread alivyosema. Ngoja niwatafutie picha
Na jioni hii,ccm wamevamia magazeti wakati yakishushwa Igunga mjini,wakakimbia nayo yote,ili kuzuia watu wa Igunga wasipate habari
Akili ya kizamani kweli kweli
CCM wanafunika moto kwa blanketi, hiyo ni kitu rahisi sana ni magazeti gani niwasiliane nao ili nifanye biashara.na mara baada ya kuyapora yote wakayachoma moto
subiri matokeooooasante kwa habari njema.....People's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hapa si mahala pazuri pa kufanyia campaign rally, chama tawala kita score point kwamba kijijini kuna huduma za bara bara za lami ambazo CHADEMA wanafanyia rallys pembeni yake. Kasindye anatakiwa aingie kwenye backwaters of the country, kwenye mapori ya Igunga, akaamshe raia huko, sio kwenye sidewalk ya barabara kuu ya Igunga-Singida. His chief campaign strategist should know better.