CCM maji shingoni Igunga

wako kwenye maombolezo bado na mwenyekiti yuko bize kuapisha wakuu wa mikoa
 
Mbona wengi wao kama watoto wa shule vile, nahisi wamekuja kusikikliza mziki, au ndio wapiga kura wa Igunga????????????????????
 
magwanda mnajifariji sisi tulioko huku ndio tunajua nani mshindi, mgombea anayependwa huku ni huyu kijana wa CUF, na ikiwa mnabisha subirini tarehe 2/10/2011 mtasadiki haya ninayowaambia.
 

Magwanda kwa kujifariji balaa!
 

Hivi wananchi wa Igunga watafanya makosa tena kwa kumchagua mgombea wa CCM? Jmani yaani Mungu awaonyeshe nini mpaka sasa walikuwa wanongozwa na FISADI MKUBWA na sasa Mungu amemuweka hadahrani na amejivua GAMBA huku tena wanaraka tena kuchagua CCM? Igunga tumieni BUSARA msiwe wajinga kiasi hicho CCM ni chama Bomu kabisa chagueni CHADEMA chama cha UKOMBOZI Tanzania
 
<br />
<br />
Watoto wa shule hawakatazwi kupiga kura ili mradi wawe wametimiza miaka 18
Dume lina miaka kumi na nane bado unaliita toto la shule, watoto wa university au University pupils ha ha..
 

Hahaa umekunywaa maji ya bendera ya CCM wewe, we ndio unapoteza muda kuja kukitetea Magamba...
Acha tupoteze muda maana hata wewe unalofanya hapa sio kwa mapenzi yako unalipwa
 
Chama kina umri sawa na wa babu(+50yrs) badala ya kutuonyesha maendeleo mnalilia kulinganisha wingi wa watu kwenye mikutano na vyama vya juzi vya kina Dovutwa kweli mmezeeka ule mshipa wa reasoning and judgement uwezo wake umeshuka.
 

Mwenyekiti wenu alinukuliwa akisema â&#8364;&#732;kelele za ...... hazimzuii .... kulala, sasa mbona hamlali. kama mnadhani cdm wanajifariji, ya nini kukesha mkijibu kila post jamvini, tafuteni darubini muone mbali. nadhani hujui kuwa masikio hayaaminiwi mahakamani bali macho yanaamini. akili zenu zimepauka kama tumbo la punda.
 
Tunawatakiwa kila la heri, Mungu awape nguvu na ushindi dhidi ya wadhalimu wakubwa hao.
 
Vipi CUF? Naskia wana igunga wanawapenda sn kuliko cdm, ni kweli?

Kama ambavyo inajulikana,CUF=CCM.Ndiyo maana Mwanahalisi katika gazeti lao toleo la 258 walichora katuni inayoonyesha bondia wa CHADEMA akipambana na bondia mwenye vichwa viwili;kimoja cha magamba A kingine cha Magamba B.

Na RAI la leo kwenye ukurasa wao wa mbele wameonyesha picha za watu watatu, lakini wagombea wawili tu i.e Joseph Kashindye(CHADEMA) na Dr. Peter Kafumu(CCM). Kweli Mungu akiamua kukuumbua hahitaji kusubiri karne!
 

Attachments

  • CCMB.jpg
    2.2 MB · Views: 71
wewe tulia tu ipo siku utaisoma namba!!
 
twende kawawa twende... siendi.....
 
Chadema oyeeeeeeeeeeeeee.CCM safari hii kila mbinu walizokuwa wanatumia kuwarubuni wananchi zimeshajulikana watazidi kufumuliwa na Chadema kila wakipaga hila wanaumbuka.CHAMA CHA MAFISANDI Hakina jipya wana Igunga kizikeni kabisa kama walivyofanya ndugu zenu wa Bukombe,Maswa ,Meatu,Mwanza
 

Mkuu umegusa nilipopataka kuchangia. Aahh.
 
Kama idadi kubwa ya mikutano ndiyo kigezo cha kushina uchaguzi basi hongereni Magwanda. Lakini nasikitika kwasababu wapiga kura huwa wanaangalia sera za mgombeaji, kwahiyo jazeni watu lakini mwisho wa siku CCM kidedea.

Ebu nifahamishe sera moja tu ya CCM tafadhali. Au unazungumzia ahadi hewa kuwa ndiyo sera? Kwa taarifa yako ahadi ni vigumu sana kutekeleza bila kuwa na sera madhubuti. Kinachoonekana katika kukwama utekelezaji wa ahadi za msanii mtalii ni kukosekana kwa sera. Miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika mlo mmoja kwa siku kwa 70% ya watanzania.

Tanzania ni kati ya nchi tano za mwisho kwenye uongozi madhubuti wa serikali (World Bank Report). Tafsiri yake ni kuwa serikali ya aina hii haiwezi kuwa chachu ya maendeleo ya wananchi wake. Hayo ndiyo wana Igunga wanaambiwa na CDM wabadirishe uongozi kupitia fursa hii iliyojitokeza kutokana na kujivua kwenye magamba. Elimu ni ya mkubabaisha kama ya kwako.

Mtaji wenu wa kuendeleza ujinga kwa wananchi kupitia elimu duni inalazimu CDM wajitoe kimaso maso kuwaelimisha na kuwapa matumaini watu wa Igunga. Lakini inawezekana mmekomaa na kujua kuwa hamna cha kuwaambia wana Igunga kwenye uchaguzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…