MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Kampeni za CCM za kwanza chini ya JK ni maisha bora kwa kila Mtanzania, Tukayapiga miaka 5 giza giza, Baadae akaja na king'ora kipya cha Ari Mpya Nguvu mpa na Kasi zaidi, SUBUHANAH WATAALAH, Giza kuliko la mwanzo.
Wenye akili zao wanasema Chama Makini kitakachoweza mletea mtanzania Maendeleo ya Kweli,
Amani na Utulivu ndani ya Nchi vitaletwa na CCM, Chama pekee chenye kuweza kupambana na mafisadi na maskini wa Tanzania. Mkopo umefikia Trillion 21 na kila mtanzania anadaiwa zaidi ya 450,000 mpaka mimba zinadaiwa..:hurt:Watanzania , Tunakwenda wapi, Tutafika wapi na tutafika je na lini? Watoto wetu watarithi nini na wapi?
I scare CCM i am telling you