chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Watanzania wameamka, CCM lazima iteleze, isipoteleza kwenye urais bara basi itateleza kwenye wabunge,ikipenya kwenye wabunge basi Zanzibar haitatoka naamini kwa vyovyote vile Tanzania mpya inakuja.
Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Tanzania