Wapinzani mlisema kikwete anasafiri sana nje, jpm amezuia safari za nje, sasa mmebadik tena, mnataka asafiri! kwa nini?- hamna hoja.
Mlipigia kelele ufisadi,sasa jpm anasafisha kabisa hili tatizo, ninyi mnayatetea mafisadi, kwa nini?- hamna hoja!
mlimpinga kikwete kwamba ni dhaifu, mkattaka tupate rais mkali, tumemptata jpm, sasa mnaimc kuwa na imani na kikwete, kwa nini?- hamna hoja!
Mlisema kwamba el ni fisadi mkuu, na video clips zipo, leo mnampigia magoti, kwa nini? hamna hoja!
Ongezeeni na mengine sasa............!