Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
Leo nimewaona wazee flan startv wakijidai eti wana busara sana kuliko watz wote ati wanafanya tamasha la amani kumbe wanampigia kampeni mgombea wa rangi ya kijani mkuu pombe nikawaona wanahangaika tu!!
Sawasawa na mfa water lazima ahangaikehangaike ingawa lazima afe tu!!! hapa mpango ni Lowassa tu kiboko yao wana wa mitusi ya sirini ccm!!
Toka ulipo timiza umri wa mtu mzima na kuanza kufanya maamuzi yako mwenyewe Leo ni siku ya kwanza Mara ya kwanza unafanya Maamuzi ya kijinga na ambayo utajutia badae kwani ume acha Made in German na kuchukuwa Made in China
jamani tupige kura ushabiki hauwezi kumfanya ashinde na msishangilie tu hii kazi ya kuangusha hili dubwasha ccm ni ngumu mno na inahitaji ujasiri na umakini mkubwa
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
Kamanda jipambanue sasa unataka kuja chadema asilia au chadema mafisadi? ? Na labda nikupe maelezo kidogo
chadema asilia ni chadema iliyojipambanua na hoja nzito za ufisadi nchini. Inakemea ufisadi na mafisadi.
Chadema asilia ndio ilibeba falsafa za Dr Slaa na inasema popote alipo dr slaabasi nasi tupo
Chadema mafisadi ndio wale waliopokea makapi na mafisadi waliotemwa ccm. Watu ambao tumekuwa tukiwatukana na kuwasema miaka zaidi ya sita kuwa wachukuliwe hatua na kufungwa.