Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.

Nakupongeza kwa uamuzi sahihi kabisa. Karibu kwenye mabadiliko kuelekea Tanzania iliyo njema, Tanzania ambayo mwananchi ataona fahari ya kujiita mtanzania. Karibu sana Bwana X.
Babu lai. kwa hali nilioishuudia hata mimi hapa Musoma ccm ijiandae kisaikolojia, na wote walio mtukana LOWASSA waanze kutengeneza na yeye kwa kumwomba Msamaa. maana Malofa na Wapumbavu, wameshaamua kumpeleka IKULU.
Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?