CCM,kuweni makini 2020 mnaweza kupoteza nchi

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,536
  1. kama kuna kipindi upinzani utatoa upinzani wa khali ya juu katika historia ya vyama vingi basis in kipindi hiki 2016--adi 2020,.
CCM wanafanya kosa kubwa sana linaowaghalimu na litaendelea kuwaghalimu.

CCM wanaamini kabisa nguvu JPM zimewapoteza kabisa wapinzani,hapana kwa kipindi cha miezi 3 iliyopita(febr --may) upepo umebadilika sana.

Ndugu zangu CCM bila kuchukua hatua stahiki 2020 nchi inaondoka ,hawa wapinzani sio wakuupuzia ata kidogo.

Tukumbuke hawa wapinzani in wajanja sana na wanajua sana Siasa za nchi hii,wakati nyota ya JPM IPO juu uku upepo wa wananchi ukimwendea vizuri,wapinzani walikuwa kimya kabisa hawakutaka kabisa kushindana na upepo huo,uku wakisubiri kujikwaa kwa mkubwa.

Kusema ukweli JPM amefanya mambo mzuri kwa kiasi kikubwa,lakini kwa upande mwingine kuna masual mawili au matatu yameshusha credit za serikali.

Mambo hayo ni...

1. Ukosefu mkubwa sukari
2. Kuonesha bunge live

Ndugu zangu CCM kupuuzia mambo kama haya kwa kuyaona ni mambo madogo in kosa kubwa sana ,waswahili wanasema mzalau mwiba mguu huota tende.lshu ya sukari imeumiza sana wananchi wa chini tukumbuke hawa ndio wapiga kura.

Kwa upande mwingine wapinzani wanatumia vizuri makosa ya serikali kujijenga na kujiimalisha,uku CCM ikiwa kimya.

Naomba niseme kwa Mara ya kwanza tangu nikijue chama cha CCM yapata zaidi ya miaka 25 nashuhudi CCM ikiwa kimya kabisa katika mambo nyeti yanayotikisa taifa.

Ndugu zangu CCM tuchange karata zetu vizuri,tulipata 8M, upinzani wakapata 6M kwenye uchaguzi uliopita ,tofauti sio kubwa alafu yule mzee wanamwitia mamvi amezinduka kwa kasi kubwa na kujiamini kwa kiasi kikubwa sana.

Tusimpuuzie uyu mzee hatuwezi jua jinsi alivyojipanga na walionyuma yake kwa sasa.
 
  1. kama kuna kipindi upinzani utatoa upinzani wa khali ya juu katika historia ya vyama vingi basis in kipindi hiki 2016--adi 2020,.
CCM wanafanya kosa kubwa sana linaowaghalimu na litaendelea kuwaghalimu.
CCM wanaamini kabisa nguvu JPM zimewapoteza kabisa wapinzani,hapana kwa kipindi cha miezi 3 iliyopita(febr --may) upepo umebadilika sana.
Ndugu zangu CCM bila kuchukua hatua stahiki 2020 nchi inaondoka ,hawa wapinzani sio wakuupuzia ata kidogo.
Tukumbuke hawa wapinzani in wajanja sana na wanajua sana Siasa za nchi hii,wakati nyota ya JPM IPO juu uku upepo wa wananchi ukimwendea vizuri,wapinzani walikuwa kimya kabisa hawakutaka kabisa kushindana na upepo huo,uku wakisubiri kujikwaa kwa mkubwa.
Kusema ukweli JPM amefanya mambo mzuri kwa kiasi kikubwa,lakini kwa upande mwingine kuna masual mawili au matatu yameshusha credit za serikali.
Mambo hayo ni 1.ukosefu mkubwa sukari 2.kuonyesha bunge live
Ndugu zangu CCM kupuuzia mambo kama haya kwa kuyaona ni mambo madogo in kosa kubwa sana ,waswahili wanasema mzalau mwiba mguu huota tende.lnshu ya sukari imeumiza sana wananchi wa chini tukumbuke hawa ndio wapiga kura.
Kwa upande mwingine wapinzani wanatumia vizuri makosa ya serikali kujijenga na kujiimalisha,uku CCM ikiwa kimya.
Naomba niseme kwa Mara ya kwanza tangu nikijue chama cha CCM yapata zaidi ya miaka 25 nashuhudi CCM ikiwa kimya kabisa katika mambo nyeti yanayotikisa taifa.
Ndugu zangu CCM tuchange karata zetu vizuri,tulipata 8M, upinzani wakapata 6M kwenye uchaguzi uliopita ,tofauti sio kubwa alafu yule mzee wanamwitia mamvi amezinduka kwa kasi kubwa na kujiamini kwa kiasi kikubwa sana.Tusimpuuzie uyu mzee hatuwezi jua jinsi alivyojipanga na walionyuma yake kwa sasa.
Usimwamshe aliye lala, Ccm mnayo majeshi, katiba inayo walinda na pesa utawambia nini. Hivi niambie ni kwanini hakuna aliye shida kesi ya uchaguzi safari hii hasa ngazi ya ubunge?
 
  1. kama kuna kipindi upinzani utatoa upinzani wa khali ya juu katika historia ya vyama vingi basis in kipindi hiki 2016--adi 2020,.
CCM wanafanya kosa kubwa sana linaowaghalimu na litaendelea kuwaghalimu.
CCM wanaamini kabisa nguvu JPM zimewapoteza kabisa wapinzani,hapana kwa kipindi cha miezi 3 iliyopita(febr --may) upepo umebadilika sana.
Ndugu zangu CCM bila kuchukua hatua stahiki 2020 nchi inaondoka ,hawa wapinzani sio wakuupuzia ata kidogo.
Tukumbuke hawa wapinzani in wajanja sana na wanajua sana Siasa za nchi hii,wakati nyota ya JPM IPO juu uku upepo wa wananchi ukimwendea vizuri,wapinzani walikuwa kimya kabisa hawakutaka kabisa kushindana na upepo huo,uku wakisubiri kujikwaa kwa mkubwa.
Kusema ukweli JPM amefanya mambo mzuri kwa kiasi kikubwa,lakini kwa upande mwingine kuna masual mawili au matatu yameshusha credit za serikali.
Mambo hayo ni 1.ukosefu mkubwa sukari 2.kuonyesha bunge live
Ndugu zangu CCM kupuuzia mambo kama haya kwa kuyaona ni mambo madogo in kosa kubwa sana ,waswahili wanasema mzalau mwiba mguu huota tende.lnshu ya sukari imeumiza sana wananchi wa chini tukumbuke hawa ndio wapiga kura.
Kwa upande mwingine wapinzani wanatumia vizuri makosa ya serikali kujijenga na kujiimalisha,uku CCM ikiwa kimya.
Naomba niseme kwa Mara ya kwanza tangu nikijue chama cha CCM yapata zaidi ya miaka 25 nashuhudi CCM ikiwa kimya kabisa katika mambo nyeti yanayotikisa taifa.
Ndugu zangu CCM tuchange karata zetu vizuri,tulipata 8M, upinzani wakapata 6M kwenye uchaguzi uliopita ,tofauti sio kubwa alafu yule mzee wanamwitia mamvi amezinduka kwa kasi kubwa na kujiamini kwa kiasi kikubwa sana.Tusimpuuzie uyu mzee hatuwezi jua jinsi alivyojipanga na walionyuma yake kwa sasa.
Hizi ni ndoto za Ki bawacha na ki bavicha! Haitakuja kutokea CCM kupoteza nchi hii! Umenichekesha kudhani kabisa CCM inaweza kupoteza nchi mbele ya Magufuli! Hii ni ndoto ondoa kabisa tena kabisa!
 
Haitakuwa mara ya kwanza ccm kupoteza. Utawala wa CCm hautegemei kura. Kama kura zingelikuwa zinaamua, sasa hivi TAnzanai ingelikuwa mbali sana kimaendeleo.

Ccm inatawala kwa nguvu za majeshi na ubovu wa katiba na dniyo sababu hawataki ibadilshwe!
Kama siyo kura zinazoamua , mbona mnakwenda kupiga kura? Chama cha kuiondoa CCM madarakani siyo hiki cha Wachagga, Watanzania tuko zaidi ya mil.45 hatuwezi kuwa wajinga tukaiuza nchi kwa Wafanyabiashara wa Uchaggani
 
Back
Top Bottom