Ccm kuwa kama kanu

Ccm kuwa kama kanu

paston shola

Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
16
Reaction score
3
Kuna ukweli usiopingika kuwa sehemu Nyingi za Tanzania Ccm imebaki kuwa chama cha upinzani baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa, mwakani he?
 
afadhali hata KANU jina lake umelikumbuka , hii ccm itakufa na haitojulikana ilipozikwa .
 
Baada ya kufa kwa CCM wote tutakuwa tunaikumbuka TANU na Afroshiraz Party lakini sio CCM,kwani ukiikumbuka CCM tutakuwa tunakumbuka machungu ya ufisadi ,rushwa,dhuruma,wizi wa kura ,mipasho , matusi,katiba ya Chenge yaani yale mambo yote ya hovyo.Lazima tuizike CCM ikiwa baado inapumua ,ikiachwa itakuja kuwaharibu wajukuu wetu ,
 
Back
Top Bottom