Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Hakyanani Wakikujibu hili swali lako labda leo sio Ijumaa
Mpwa nimeshakwambia hawawezi kukujibu kitu cha maana hapa, yaani wote kama walivyokuwa wezi basi akili zao zote ziko hivyo hivyoChabruma umetoka kapa. Halafu,achia nafasi wengine.Hauko peke yako kuchangia hapa
Chabruma umetoka kapa. Halafu,achia nafasi wengine.Hauko peke yako kuchangia hapa
Mpwa nimeshakwambia hawawezi kukujibu kitu cha maana hapa, yaani wote kama walivyokuwa wezi basi akili zao zote ziko hivyo hivyo
Hahahahhhhhh......Haya majamaa bhana, unakuta mtu mmoja kwenye. thread moja tena ukurasa mmoja kachangia zaidi ya mara 7 . Hii ni shida kweli, Haya huyu umemkanya subiri uone ataingia kwa ID nyingine na kuendelea kutoa matapishi yake hii mitoto hii.......!!!!!!!
BACK TANGANYIKA
Mkuu, shida yenu ni kwamba mmezoea kukariri. Mtu akiwaletea mawazo mbadala mnamuona yupo tofautiChabruma umetoka kapa. Halafu,achia nafasi wengine.Hauko peke yako kuchangia hapa
Upuuzi mtupu. Wewe unajuaje kama na wewe huna ID kama -----?Wana IDs bandia kama mvua
Mkuu, shida yenu ni kwamba mmezoea kukariri. Mtu akiwaletea mawazo mbadala mnamuona yupo tofauti
Upuuzi mtupu. Wewe unajuaje kama na wewe huna ID kama -----?
Mkuu Weston Songoro,mawazo tofauti yanaruhusiwa na kupokewa.Lakini,jinsi ya kuyatoa ndiyo tatizo.Labda nyinyi wanachama wa vyama vya siasa nchini mnajuana.Mdogo wangu Salum Ally Hapi amenisikitisha sana leo kupitia Star TV
Mkuu Wewe ndo umeleta Mada, achia na wengine wachangie, hauko peke yako hapa!