Nakubaliana na hoja yako, HIYO ni sababu tosha Dr. Slaa kachomooa Kugombea Arumeru alijuwa hataweza kupangua makombora ya Lowasa wakati wa kampeni. POLENI CDM huu utakuwa uchaguzi mdogo wa tatu kulalia pua; kumbukeni IGUNGA, UZINI
Kwanza naomba source ya takwimu zako ili tuweze kuzihakiki. Pili sidhani kama Lowassa ana huo ushawishi unaousema mjini Arusha labda kama ukisema Arusha unamaanisha Monduli.Wanabodi,
Chama cha Mapinduzi (CCM) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa Jimbo la Arumeru Mashariki..
Sababu zinazotolewa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM pamoja uongozi wa CCM Arusha, ni kwamba Lowassa ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Arusha.
Machi 9 mwaka huu kampeni zinaanza na Aprili Mosi upigaji kura utafanyika.
Wananchi kadhaa wa Arumeru, wanaozungumzia uchaguzi huo mdogo wa Arumeru wanasema wazi Lowassa, ndio pekee anayeweza kujibu na kusikilizwa na jamii inayoishi katika jimbo hilo.
Ikielezwa kwamba Slaa, ana ushawishi mkubwa kwa wakazi wa Arusha, ushawishi ambao unaweza kupanguliwa na Lowassa pekee miongoni mwa makada wa chama tawala.
Arumeru kuna makabila makubwa mawili Wameru 66% na Wamasai, ambao wengi wanamkubali sana Lowassa.
Wanabodi,

Kama lowasa akiachiwa meru ,hakika ccm itashinda hili halina ubishi hata kidogo ( iwapo tu sioi sumari atakuwa mgombea ) . Wameru siku zote wanaomba kwa Mungu nawao watoe rais wa hii nchi na karata yao ni kwa lowassa . Wanaamini kama sioi atakuwa mbunge na lowassa rais watapata maendeleo kwa haraka jimboni kwao ,hili halina ubishi hata kidogo . Kwa upande wa chadema wanahitaji kazi ya ziada ili waweze kuwashawishi wameru .
NB . LOWASSA NI MKWE WA SIO SUMARY.
Lowasa Ikulu hiyoooo,kila la heri, ila usitusahau kwenye ufalme wako.Matumaini yetu ni kwamba baada ya madongo mengi ya wananchi huhusu ufisadi wako,sasa utakuwa umejifunza na utawatumikia wananchi kama ipasavyo,na ufisadi kwako utakuwa mwiko.
Wanabodi,
Chama cha Mapinduzi (CCM) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa Jimbo la Arumeru Mashariki..
Sababu zinazotolewa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM pamoja uongozi wa CCM Arusha, ni kwamba Lowassa ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Arusha.
Machi 9 mwaka huu kampeni zinaanza na Aprili Mosi upigaji kura utafanyika.
Wananchi kadhaa wa Arumeru, wanaozungumzia uchaguzi huo mdogo wa Arumeru wanasema wazi Lowassa, ndio pekee anayeweza kujibu na kusikilizwa na jamii inayoishi katika jimbo hilo.
Ikielezwa kwamba Slaa, ana ushawishi mkubwa kwa wakazi wa Arusha, ushawishi ambao unaweza kupanguliwa na Lowassa pekee miongoni mwa makada wa chama tawala.
Arumeru kuna makabila makubwa mawili Wameru 66% na Wamasai, ambao wengi wanamkubali sana Lowassa.
Wazo lolote la mtanzania linaloonyesha kuwa Lowassa anafaa kuwa Rais wa Nchi hii mimi huwa nalipuuza vikali na kulitupilia mbali sana. Hii dhana ya sehemu/jimbo flani kupelekewa maendeleo kwakuwa Rais/Waziri Mkuu ni Mkwe wa Mbunge flani limetokea wapi???Hii ni dhana ya zamani sana na inayoleta hasira sana hasa kama kauli hiyo inatolewa na Mzalendo. Lowassa alikuwa waziri mkuu alilifanyia nini Jimbo la Arumeru???Au huko nyuma Arumeru haikuwepo???Kama lowasa akiachiwa meru ,hakika ccm itashinda hili halina ubishi hata kidogo ( iwapo tu sioi sumari atakuwa mgombea ) . Wameru siku zote wanaomba kwa Mungu nawao watoe rais wa hii nchi na karata yao ni kwa lowassa . Wanaamini kama sioi atakuwa mbunge na lowassa rais watapata maendeleo kwa haraka jimboni kwao ,hili halina ubishi hata kidogo . Kwa upande wa chadema wanahitaji kazi ya ziada ili waweze kuwashawishi wameru .
NB . LOWASSA NI MKWE WA SIO SUMARY.
Nakubaliana na hoja yako, HIYO ni sababu tosha Dr. Slaa kachomooa Kugombea Arumeru alijuwa hataweza kupangua makombora ya Lowasa wakati wa kampeni. POLENI CDM huu utakuwa uchaguzi mdogo wa tatu kulalia pua; kumbukeni IGUNGA, UZINI
Mkuu inaelekea upo kiccm zaidi,na unapga kampeni live! Kwa Joshua Nassary wa CHADEMA ni kabila gani? Kwanini usiseme wameru wanatamani Joshua awe mbunge wao na Lowassa awe rais ?
Mbona sisi wananchi wa kawaida hatuna mawazo kama yako???wewe sio mwananchi wa kawaida wewe utakuwa gamba tu.mkuu mimi nasema ukweli wa hali jinsi ilivo sihitaji kumpigia mtu yoyote kampeni maana hakuna mwanasiasa ananisaidia kitu naongea kama mwananchi wa kawaida .
Kwanza naomba source ya takwimu zako ili tuweze kuzihakiki. Pili sidhani kama Lowassa ana huo ushawishi unaousema mjini Arusha labda kama ukisema Arusha unamaanisha Monduli.
Tatu kama Lowassa ndo atashika mikoba ya Magamba basi ntaamin sasa CCM imeishiwa mana ni kati ya watu mnaowatuhumu kwa Ufisadi, leo hii huyo huyo anaonekana tena anafaa??au kuna MaLowassa wangapi huko kenu??Au kila mwenye mvi mnamuita Lowassa??? Sidhan kama wa arumeru watakuwa wamepoteza kumbukumbu ya mambo aliyoyafanya Lowassa. Nakubali kuwa CCM wameisha kisiasa na kifikra ila siamin kama watafikia level ya kumshikisha Lowassa Mikoba.