Janjaweed walipanda jukwaani na ma pistol kutishia watu,Magufuli akawaua kabisa na wengineo waliorusha pumba zao kina Mukama na Sheikh wao!bado mapilau waliolisha watu bure na misaada ya vyakula!!balaa sanaa
CCM nadhani wanataka kutuambia alichofanya Magufuli, rage ni sawa kabisa
wanataka kutuambia kwao aspichaguliwa mwana CCM eneo hilo litatengwa
wanataka kutuambia kugawa mahindi na vyakula na kauli za vitisho wakati wa kampeni ni sawa
nina mashaka na bongo zao.lengo la kusumbua mahakama na kuwacheleweshea wana Igunga haki ya kuwakilishwa bungeni
sasa atagombea nani wakati Dr hawezi kuwekwa kundi moja na akili za nape/mwigula labda chama kifanye mabadiliko makubwa ya structure yake na utendaji, kachoka kufanywa kubwa jinga, analilia tanzania yetu ameoteshwa.
Wakati umefika wa CCM kujifunza kutofautisha nafasi za mawaziri na kampeni, pia wajue wakati wa kampeni watangaze sera sio kutishia wapiga kura kwa nafasi zao cuz hiyo ni rushwa.
Wanalazimisha kwani kafumu kasema hataki kabisa siasa anarudia kazi yake ya zamani kwani walimtelekeza. nafikiri hii ni njia ya kuchelewesha tu ili CHADEMA wasilichukue jimbo
Chadema mlishindwa kesi ya Arusha mkakata rufani hapo ninyi ilikuwa halal i. Tena mlikata rufani kinyume cha Godbless Lema ambae Ali'sema tayari kurudi kwa wananchi, lakini kwa kutuambia jinsi wananchi wa Arusha walivyochoka na fujo zenu, mliamua kupata rufani ili kuepuka aibu ambayo mngepata kama mngeingia kwenye uchaguzi Wakati kabla wanung'unikaji hawajaleta mafungu. Sioni man tiki ya kupinga kelele CCM ikiamua kukata rufani. After all grounds za kukata rufaani zako wazi.
HILI HALIPINGIKI!... Nilijua lazima wakate rufaa.. MOTO wa CDM unatisha!... kwao ni heri jimbo likae wazi hadi mwaka 2015 kuliko kuumbuliwa na MAKAMANDA wa CDM!....