CCM kujisafisha kwa kutumia media hakutowasaidia kitu.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Miccm na chama chao baada ya kuona wamepoteza mvuto katika medani za majukwaa ,sasa wameingia katifa fase2 ambayo ni kutumia vyombo vya habari ,kiujanja ujanja ili kutaka kijisafisha ,wakitumia media hizo zaidi wanasiri ya kuwa wagombea wao wapewe vipau mbele bila ya kukatishwa na kama mnavyoona hapa Jamii forum wamezingira nusu dashboard kwa tangazo la steram under StarTv ,ajabu ilioje hii eti mkikimkiki ,tunawambia baelewe huku UKAWA ni mabadiliko tu kama mnakuja na mkikimkiki mtakutana na mkukumkuku lazima mtoke baru.

Media mwaka huu hazitawasaidia kitu kwani hapa ni Tz ni mabadiliko tu kazi baadaae !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom