CCM kujisafisha kwa kutumia media hakutowasaidia kitu.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Hakuna kitakachoweza kuwasaidia CCM si media ,si utafiti si JF ,CCM inakwenda tu ,hili halina mjadala na mwenye sababu na hoja ya kwamba CCM itashinda aiweke hapa ,kwa pushup tu mtapiga nyingi sana ,nafikiri ni mazoezi ya kutoka mkuku !
 
Back
Top Bottom