mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri mbele ya wananchi kwani hali ilivyo, inaonyesha kupoteza mvuto mbele ya wananchi. Pia amekionya chama chake kuepuka ile dhana ya uchanga wa vyama vya upinzani akidai kua vyama vya upinzani kwa sasa vimekomaa na ndio maana vyaweza toa hatua kali kwa serikali. Anasema kwa CCM kujisafisha Viongozi maslai wote ndani ya chama anashauri wachunguzwe kwa manufaa ya chama.. Wadau, mimi binafsi napenda sana misimamo ya mh. huyu! Nawasilisha hoja!
Six is right but yet, he's another hypocrite. Wakusimamia kukisafisha ni nan? Si niyeye alieua hoja ya Richmond bungen? Anadhan tumesahau? Na hoja yakumfukuza Zitto si aliikubali? Alimfukuza Cheyo pia alipoongelea wananchi waliokufa na kemikali zilizotililishwa na wawekezaji walioletwa na mafisadi. Leo hii kajisahau?
Sitta ni Ambilikile Mwasapila wa CCM, utaona watakavyomtafutia hatia kumzima kwa kuhatarisha maisha yao.mh. Samwel Sitta Mb, Waziri wa Afrika mashariki amekitaka chama chake cha mapinduzi kuchukua hatua za haraka na muhumu za kujirekebisha, hatua ambazo zitaweza kukijengea chama chake picha nzuri mbele ya wananchi kwani hali ilivyo, inaonyesha kupoteza mvuto mbele ya wananchi. Pia amekionya chama chake kuepuka ile dhana ya uchanga wa vyama vya upinzani akidai kua vyama vya upinzani kwa sasa vimekomaa na ndio maana vyaweza toa hatua kali kwa serikali. Anasema kwa CCM kujisafisha Viongozi maslai wote ndani ya chama anashauri wachunguzwe kwa manufaa ya chama.. Wadau, mimi binafsi napenda sana misimamo ya mh. huyu! Nawasilisha hoja!
makamba hayupoNasubiri majibu ya Makamba!