Kinadharia uko sawa lakini ukiangalia kwa makini utaona katika mikutano ile CCM inapoteza wanachama kwa maelfu! mikutano ya majukwaani pengine ingewarudisha waliotoroka! Utekelezaji wa ahadi za CCM unasuasua mahali pengi kiasi cha kukatisha tamaa. Kila mdharau mwiba miguu huota matende!