Nembo ya M4C imesajiliwa BRELA kwa ajili ya Chadema
TABBY sawa kaka...kwani ungeandika bila KUNITUKANA ungepungukiwa na kitu? Sasa kwa matusi yako nani anaonekana si mstaarabu? Hebu soma tena ulichopost na tafakari. Si heri yangu mimi juha nimetoa mawazo yangu bila kuweka matusi. I thought you were clever than me....tehe no wonder mashabiki wa ukawa mnaonekana hamna busara kabisa. Wewe TABBY ni mfano mmoja.Mugisher
Kumbe!!!!!!!!!.
Kweli kabisa sikujua kama wewe ni kiranja wa majuha hapa JF. Kuanzia leo sisomi upumbavu wako. Mwanzoni nilikuwa nadhani unapitiwa kumbe ni mburura kabisa in totality!.
Kweli ccm yamebaki mapumbavu na machawi tu!.
Kwa heri juha!