CCM kuishtaki CHADEMA kwa kuibia mgombea wake

CCM kuishtaki CHADEMA kwa kuibia mgombea wake

Mugisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
411
Reaction score
360
Leo ndugu zangu nimecheka sana baada ya kusikia malalamiko ya Chadema kuhusu M4C yao. Eti hawa wazee wetu wakaskazini wanataka kwenda mahakamani kuishtaki CCM kwa kuiba nembo yao. Kwangu jamaa wameshindwa siasa na kuanza kutapatapa.

Hizi ni dalili za kuwa game linawabadilikia. Wanatafuta huruma ya wananchi. Mara ngapi viongozi wa Chadema wanaelezea CCM Kama Chama Cha Majambazi? Mbona CCM haijapanick? M4C ni nembo iko kila sehemu duniani. Kwanza Chadema waliidesa kutoka kwa Besigje wa Uganda katika harakati zake za Kisiasa. Na pili, Chadema haina haki miliki ya hio nembo.

Hivi miezi miwili iliyopita Chadema walikuwa na mgombea rais? Naomba niwashauri na CCM nao waende mahakamani kuishtaki Chadema kwa kuwaibia mgombea wa Urais. Kila mwanasiasa anayeleta chachu sasa hivi kwenye harakati za Chadema ametoka CCM. Sasa najiuliza anayeleta copy na kupaste ni nani hasa? Eti hawa Chadema ndio wanataka kutawala nchi.

Kwa hoja dhaifu Kama hizi, hawapati kitu.
 
Sijui kama ulichokiandika umekisoma upya na kuridhika nacho mkuu
 
Uwezo wako wa kufikri ndo umeishia hapo? Kaazi kweli kweli!
 
Hizi ndo akili za Maccm, yaani ni bora mtu kama huyu angezaliwa funza tungeelewa tu ubongo wake uko miguuni, sasa someni hapa kilichoandikwa na binadamu aliyebebwa miezi tisa kwa uchungu mkubwa na mamaye..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Mizombie ya Lumumba mikurupukaji sana. Ungesoma malalamiko juu ya hiyo nembo usingekurupuka hivi. Ndyo maana mnakurupukaga kubambikia watu kesi na mnashindwa vibaya.
 
Mkuu log ya m4c,ni ya chadwma lyk 3 years ago,ccm wameamua kuikopy politically
 
Kwa mtazamo huu mtoa mada naona mawazo yako yapo chini chini kabisa yakiwango kwa wapenda maendeleo ya haki!
 
Mugisher

Kumbe!!!!!!!!!.

Kweli kabisa sikujua kama wewe ni kiranja wa majuha hapa JF. Kuanzia leo sisomi upumbavu wako. Mwanzoni nilikuwa nadhani unapitiwa kumbe ni mburura kabisa in totality!.

Kweli ccm yamebaki mapumbavu na machawi tu!.

Kwa heri juha!
 
Last edited by a moderator:
Kama ccm imebaki na wanachama aina yako ndio basi tena
 
Mugisher

Kumbe!!!!!!!!!.

Kweli kabisa sikujua kama wewe ni kiranja wa majuha hapa JF. Kuanzia leo sisomi upumbavu wako. Mwanzoni nilikuwa nadhani unapitiwa kumbe ni mburura kabisa in totality!.

Kweli ccm yamebaki mapumbavu na machawi tu!.

Kwa heri juha!
TABBY sawa kaka...kwani ungeandika bila KUNITUKANA ungepungukiwa na kitu? Sasa kwa matusi yako nani anaonekana si mstaarabu? Hebu soma tena ulichopost na tafakari. Si heri yangu mimi juha nimetoa mawazo yangu bila kuweka matusi. I thought you were clever than me....tehe no wonder mashabiki wa ukawa mnaonekana hamna busara kabisa. Wewe TABBY ni mfano mmoja.
 
Back
Top Bottom