CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

Joined
Dec 7, 2012
Posts
6
Reaction score
7
Leo Dkt J.P Magufuli ataonekana katika majukwaa yote ya CCM Tanzania. Kuna Screen kubwa sana zitafungwa kurusha mkutano wake Live.Tv Stations 5 na Radio 67 zitakuwa zikirusha matangazo ya kampeni za JPM moja kwa moja.

Leo wapo alipokuwa JPM jana.Maarifa '0'

Unakaa unafurahia Ujio wa Kingunge, hujiulizi yu-wapi, Dk.Slaa, Lipumba, MM/Kiti NCCR, Katibu NCCR. hii ni Mtu anakupa pera anachukua Gold

Nilidhani kupatikana kwa Magufuli tungeshukuru anyway Mungu yupo nasi hatuwezi kuuza nchi kwa wapiga dili.Kura yako Mpe Magufuli.

Hatuwezi kujenga utaratibu utakaozuia kabisa makosa ila tunatazamia yakifanyika wahusika wawajibike #ChaguaMagufuli

Mwacheni tu ashinde huu Uchaguzi. JPM kapiga mzigo. Mnyonge mnyongeni.

Mungu anajua tunataka nini na atatupati, haijalishi wangapi wanapinga kwa nguvu za dilari ila tutafika.

Kwanini uendelee kuwaza nani wa kumpigia kura wakati kiongozi mchapakazi Dkt J.P Magufuli anajulikana fika.

Ukawa wanaambiana oh mchana wapishe watu wewe simama tu kwenye foleni kulinda kura.Zipo juani pale nanai ataziiba? mmasai kulinda ATM? He He He.

Wameanza kusingizia kura za maruhani. Mara mama Nagu, mara Njombe. Kweli mfa maji haachi kutapatapa.
- Ukimheshimu Mjinga, huwa anajiona yeye ndio mjanja

Kwenye chaguzi tuwe na Political Tolerance, tuko chini ya utawala wa vyama vingi, heshimu mawazo ya kila mmoja and be a reasonable citzen
 
Woooooooooooow !
Mkuu nimeipenda sana hii...
Ila nina mashaka kama uzi wako utadumu dk 50
 
Post 6..

Join Date ???

---- ---- ----... Heading Magufuli Content Lowassa/Ukawa
 
kura zetu watanzania anazo zote...

viva magufuli vivaaaaa
 
Hatudanganyiki tunataka kuondoka katika umasikini Wa miaka 50
 
Anaongea, anajijibu, anajiuliza, anatoa ushauri yote kwa pamoja dalili za kuchanganyikiwa! LOWASA RAIS
 
Leo Dkt J.P Magufuli ataonekana katika majukwaa yote ya CCM Tanzania. Kuna Screen kubwa sana zitafungwa kurusha mkutano wake Live.Tv Stations 5 na Radio 67 zitakuwa zikirusha matangazo ya kampeni za JPM moja kwa moja.

Leo wapo alipokuwa JPM jana.Maarifa '0'

Unakaa unafurahia Ujio wa Kingunge, hujiulizi yu-wapi, Dk.Slaa, Lipumba, MM/Kiti NCCR, Katibu NCCR. hii ni Mtu anakupa pera anachukua Gold

Nilidhani kupatikana kwa Magufuli tungeshukuru anyway Mungu yupo nasi hatuwezi kuuza nchi kwa wapiga dili.Kura yako Mpe Magufuli.

Hatuwezi kujenga utaratibu utakaozuia kabisa makosa ila tunatazamia yakifanyika wahusika wawajibike #ChaguaMagufuli

Mwacheni tu ashinde huu Uchaguzi. JPM kapiga mzigo. Mnyonge mnyongeni.

Mungu anajua tunataka nini na atatupati, haijalishi wangapi wanapinga kwa nguvu za dilari ila tutafika.

Kwanini uendelee kuwaza nani wa kumpigia kura wakati kiongozi mchapakazi Dkt J.P Magufuli anajulikana fika.

Ukawa wanaambiana oh mchana wapishe watu wewe simama tu kwenye foleni kulinda kura.Zipo juani pale nanai ataziiba? mmasai kulinda ATM? He He He.

Wameanza kusingizia kura za maruhani. Mara mama Nagu, mara Njombe. Kweli mfa maji haachi kutapatapa.
- Ukimheshimu Mjinga, huwa anajiona yeye ndio mjanja

Kwenye chaguzi tuwe na Political Tolerance, tuko chini ya utawala wa vyama vingi, heshimu mawazo ya kila mmoja and be a reasonable citzen
Toka nyumbani kwako au kama upon uwanjani toka tembelea maeneo yote kwenye kikundi cha watu wanaoangalia TV juu ya ufungaji wa Kampeni uangalie wanaangalia mkutano UPI ni dhahili jibu utakaloliona sidhani kama utarudi tena kwenye huu Uzi wako.
 
Jangwani vioja leo ..Lowasa anamung'unya na watu wako bored sana na ajabu hawaonekani watu wa maana zaidi ya bodaboda
 
Utakua maskini adi wajukuu zako wote, wewe unadhani ushindani wa vyama kwako ni uadui.
 
ikiwa wananchi wataichagua ccm tena hasa wana ccm kibali cha Uungu kitavuka vichwani mwao watakuwa watu wa kuonewa hii ni kiroho zaidi kwani ni dhahiri mateso ya miaka kumi iliyopita iliwapiga Watanzania wote pasipo kujali chama ila yajayo itakuwa kwa wana ccm kwa kuonekana kituko popote watakapokuwa. This is the prophecy.
 
Toka nyumbani kwako au kama upon uwanjani toka tembelea maeneo yote kwenye kikundi cha watu wanaoangalia TV juu ya ufungaji wa Kampeni uangalie wanaangalia mkutano UPI ni dhahili jibu utakaloliona sidhani kama utarudi tena kwenye huu Uzi wako.

Yes, wamepewa nafasi mapema, kabla chama dume halijateka airwaves zote.....
 
Kesho mpaka muda huu nitakuwa nimeisha piga kura yangu panapo majaaliwa kisha tartibuuu narudi maskani kusubiri matokeo.
 
Back
Top Bottom