Mwanangu nimekoma hakika wewe si riziki. Umetumwa au unajituma? Unatumiwa au unatumika? Kwa watu wenye mawazo mgando CCM ndilo jua ndiye Mungu ndiyo oxygen na kila kitu. Ila kwa wenye akili CCM ni just a passing cloud. Kuna siku utaona walichokiona wakenya waliokuwa na mawazo mgando na mtindio wa ubongo waliodhani kuwa KANU ni kila kitu wasijue si kitu.
tujadili hapa sababu ya kwangu mtandao wake umeenea kila mahala ukifk sehemu yeyote tz kipo karibu na wananchi kuliko vyama vengine ambavyo viko too selective mijini tuu tuongee ukweli je mijini ndo tanzania!!mbwembwe nyingi kama za sisimizi anayemzuia tembo kunywa maji
Huyu nimekoma anapima akili za watu anaujua ukweli kwamba ccm imewatesa waTz miaka 50 na bado wanatufanya kitu mbaya wakifikiri bado tu wadanganyika wasubiri waone