CCM Kisonge Zanzibar wanyosheana vidole

Mie nimezaliwa bara wazazi wangu wote wabara cwez kupata.kitambulisho.cha.mkaz.zenj au kuomba uraia wa zenj?
 
Mie nimezaliwa bara wazazi wangu wote wabara cwez kupata.kitambulisho.cha.mkaz.zenj au kuomba uraia wa zenj?

Masharti lazima uwe mkaazi wa zanzibar miaka 3, uraia ni Tanzania
 
Matokeo yametangazwa tayari ya urais???
 
unajitekenya mwenyewe halafu unacheka! uko Zanzibar gani? sisi watoto kindakindaki tusijue.

REDIO KIFUA
 
unajitekenya mwenyewe halafu unacheka! uko Zanzibar gani? sisi watoto kindakindaki tusijue.

REDIO KIFUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…