CCM kidigitali zaidi iko mbele ya wengine

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,022
Reaction score
28,409

πŸ“πŸ”° CCM 360 ni zaidi ya akili kidigitali.

CCM app iliyoboreshwa zaidi na ziadi. Jisajili, lipa Ada na zungumza moja kwa moja na mtoa huduma wa CCM HQ kupitia CCM 360.

Habari ya mjini ni CCM 360. Pakua sasa app uako ufurahie upekee. Pata habari, matukio na taarifa mbalimbali za ccm nchi nzima kiganjani mwako.

Chama cha mapinduzi kazini πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
USSR sikuwahi kukufikiria kwenye hii angle bana, kumbe na wewe ni mpaka mpige magoti mdhalilike Ndo mle
 
Duniani kila mtu ana-akili zake, sielewi kuna watu wenye akili za kawaida wanaweza kulipa pesa kusaidia CCM? Laana
 
Chama changu, kinadili na vitu vya kijinga wakati huu kimepoteza imani kwa wananchi, kimepoteza nuru, bila ya vyombo vya ulinzi na usalama hatuna chetu.
 
ila bado ni mijizi ya kura!
 
CCM = Chama cha Majambazi
CCM = Chama cha Mafisadi
CCM = Chama cha Majizi
CCM = Chama cha Matekaji
 
CCM kwa sasa siyo chama cha siasa! Ni genge la wahuni, wahujumu uchumi, matapeli, wachawi, majangili, majambazi, mafisadi na wapiga dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…