Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Wakati mwingine vyombo vyetu vya usalama vinapokea maagizo ya watawala wetu bila hata ya kuyachanganua.
Siku hizi wanawake wanandevu.So hoja yako ni mufilisi.Ccm ndio vidume.... Uliona wapi katika familia baba na mama wote wakawa na ndevu? Hiyo familia itakalika?
Yes indeed.It is dangerous to be right when the government is wrong.
Ccm Wamezoea Kuwafaya Watanzania MatahiraWatabana na mwishowe wataachiwa
Kuwashukuru wananchi ni tofauti na maandamano ya kupinga tv kutooneshwa liveChama cha Mapinduzi CCM kupitia wenyeviti wake wa mikoa, kinafanya ziara wanazoziita "Kukagua Miradi ya Maendeleo na Kuwashukuru Wananchi" na katika shughuli hiyo, wanaweka mikutano na kuzungumza na wananchi katika maeneo hayo.
Mikutano ya kisiasa ya vyama vya mbadala inapigwa marufuku na kupingwa vikali, hizi ni double standards... Vitendo hivi tukiviita Ubakaji wa Demokrasia mnasema tumekosea....
Tanzania ielekezwako yajua yenyewe...
MIMI nahofia ile HALI ya kuvamia vituo vya POLISI na Kupora SILAHA kujirudia HIVI karibuni nawaomba walinzi wetu wa amani penye haki watende haki.
CCM KINAISHI KWA KUBEBWABEBWA TUChama cha Mapinduzi CCM kupitia wenyeviti wake wa mikoa, kinafanya ziara wanazoziita "Kukagua Miradi ya Maendeleo na Kuwashukuru Wananchi" na katika shughuli hiyo, wanaweka mikutano na kuzungumza na wananchi katika maeneo hayo.
Mikutano ya kisiasa ya vyama vya mbadala inapigwa marufuku na kupingwa vikali, hizi ni double standards... Vitendo hivi tukiviita Ubakaji wa Demokrasia mnasema tumekosea....
Tanzania ielekezwako yajua yenyewe...
Siyo mufilisi....Siku hizi wanawake wanandevu.So hoja yako ni mufilisi.