GE2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

Kweli japo haikuwa sahihi kwake kutumia kauli hiyo.
 
Hee karatu tena!!!!@si ndio cdm na Lissu picha za mkutano wake wa kampeni walikuwa wakizitumia kuuzia sura mitandaoni?!
 
Mwisho wa ushetani wenu umekaribia

Ushetani tena.. kwani wapiga kura.. walishikwa mikono na chama tawala wakichague tena.. au?

Labda mimi napitwa...

Poleni

Tano tena πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Nyie mkajaza masanduku yenye kura feki.
Wakati nyie mnashabiki nyomi wenzenu walikuwa field wanasaka ushindi, maana nyomi hata Slaa alijaza mara tatu ya nyomi la Lisu
 
Huu β€œulafi” na kufuru ya CCM mwaka huu umevunja record. Inapendeza sana kwa kweli kuwa na wapinzani bungeni angalau 30% ya Wabunge.
Heshimu maamuzi ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…