lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Ccm kama wanajiamini watashinda uchaguzi wa mwaka 2020 waunde tume huru ya uchaguzi,hii itawajenga zaidi kisiasa
2)napendekeza muundo wa tume huwe hivi,vyama vyenye wabunge bungeni,wapendekeze majina ya watu 3 alfu rais anawachagua mmoja kati ya watatu,anaapisha mjumbe mmoja,na anakuwa mjumbe wa tume,pili taasisi,mbalimbali,zipendekeze majina ya watu watatu wenye sifa,alfu rais,anateuwa mmoja anawapisha kuwa wajumbe wa tume,kwa mfano,baraza la maskofu tanzania wanachagua wajumbe watatu,bakwata wajumbe watatu,tume za haki za binaadamu,pentekoste,vyuo vikuu,vyama vya wafanyakazi,na kadhalika,baada ya kila taasisi kuchagua wajumbe watatu,ndio mh rais,anateuwa mtu mmoja kati ya wajumbe watatu kutoka kila taasisi,na wanakuwa wajumbe wa tume
3)kama ccm wanajiamini waruhusu mijala,ya kushindanisha hoja,ili wananchi wachuje wenyewe,kati ya pumba,na Mchele,ushauri kwa maskofu wetu ambao ni wapakwa mafuta mtakatifu wachukue ujumbe huu,na kuufanyia kazi,lkn hivi ni kweli maskofu watu hawana mawazo kama haya,kwa nia ya kuwaunganisha watanzania,na kuleta umoja wa taifa letu,napenda kuwashauri wapakwa mafuta sio kila jambo,linatakiwa kutangulizwa sala tu,kuna mambo ni akili,na akili ukichanganya na sala,unapata Baraka
Maskofu watu,hembu tumieni busara zenu,na nafasi zenu vizuri,au hili wazo nalo ni baya?
Hii ni njia sahihi ya kuondoa manunguniko,miongoni mwa waumini wenu,lkn pia ni njia nzuri ya kuleta amani pia