CCM Kahama kumekucha

CCM Kahama kumekucha

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
560
Reaction score
320
Chama cha mapinduzi wilayani kahama kupitia msemaji wake jina tunamhifadhi amesena,"atakayechaguliwa na chama wilayani ndiye watamuunga mkono"hii ni kutokana na maneno ya watu mtaani kuwa chama hicho hakimtaki anaetetea kiti cha ubunge jimboni humo,hivyo wanachama wanashauriwa kuchagua waneona anafaa kuwa wa kahama.
 
Lembeli ndie chaguo sahihi, tofauti na huyo, 2nalipoteza jimbo. Hata na hivo lembeli ana mtihani mkubwa sana. kahama inahitaji mtu makini ili barabara na huduma za afya ziimarike haraka zaidi.
 
Kuna kichwa kimoja matata sana kinachukua jimbo lembeli hana nafasi
 
ZZK kishasema yeye na migodi, eti kahama hakuna vichwa mpaka muazime kutoka mwandiga?
 
CCM wanazikana, hilo jimbo tutalichukua CHADEMA hakuna ubishi, maCCM mmekaa kwa miaka 53 hapo lakini hakuna jipya lolote mlilofanya.
 
Lembeli hana chake Kahama. Hakuwahi kuwa na chake isipokuwa hakuwahi kupata mpinzani sahihi na mgombea sahihi wanaemtaka wana Kahama. Safari hii uchawi na pesa anavyojinasibu navyo havitamsaidia. Kuna jembe tumeliandaa na sasa liko tayari kulima. .. hakuna cha Lembeli, wala nani. Tunaye wakili Nkuba anatosha. ....
 
ZZK kishasema yeye na migodi, eti kahama hakuna vichwa mpaka muazime kutoka mwandiga?
Huu Utani Haupendezi Jamani Yaani Tuazime Mtu Kigoma? Kama Tumeisha Basi Tutaweka Ng'ombe Wetu Mmoja Kuliko Huyu Mbaguzi Asiweza Kuongozwa Ila Kuongoza Tu Sisi Hatuko Hivyo
 
ZZK anajidanganya sana yeye anadhani heshima ya wakati ule bado anayo KAHAMA,hivyo akijaribu kugombea lazima aangukie pua maana dhambi ya USALITI bado inamtafuna.
ZZK kishasema yeye na migodi, eti kahama hakuna vichwa mpaka muazime kutoka mwandiga?
 
Back
Top Bottom