CCM Kagueni Miradi yenu ya shule ikiwemo Minja Tech and secondary school

mbegu mkaa

Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
5
Reaction score
1
CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza kabla hamja mpa hiyo shule alitokea shule gan?,Aliiacha katika hali gan,?Kibo secondary school inahali gan baada ya kumpa aisimamie? Kipindi anaenda pale Minja kulikuwa na wanafunzi wangapi, na leo wapo wangap?

Idara ya ufundi ipo au ameshaifuta?Wanafunzi weng wanalipa ada kwa namna gan ,benki au shulen?A level mbona haiwekei mkazo?Mbona TAHASUSI(COMBINATION)ya EGM,HGE kazfuta wanafunz wakahamia mwanga sec? Kuna walimu wangapi na wanalipwaje?Mishahara ya wafanya kazi inatolewa kwa wakati muafaka toka aingiepo hapo Minja ?Wafanyakaz wana mikataba?

Wafanyakazi wanafukuzwa kwa kufuata utaratibu kisheria ?Wanafunzi wanaofanya makosa kama kukamatwa na simu wanatozwa laki moja na nusu hiyo hela inaenda wapi?.Yeye elimu yake ikoje?kwa nini mwez wa tisa kipindi ukaguzi wa shule hizi alikimbia baadae juma tatu akaenda ofsi za chama na data ambazo uhalisia wake ungetofautia kama angekutwa ofsini?Kwa nini asiwepo wakati wa ukaguz wakat shule zingine mkuu na wafanyakazi wote walikuwepo maana taarifa ilitolewa mapema sana

Ni kwa uchache tu,.haya ni maswli ambayo yakifanyiwa uchunguzi utakuja kujua ukweli wa hata shule zingine zilizoko chini ya JUMUIYA YA WAZAZI CCM kama Kahunda,Lomwe,Kibo n.k
 
CCM Kagueni Miradi yenu ya shule ikiwemo Minja Tech
#1

CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza maswal machache yatakayowasaidia kujua ukwel...kabla hamja mpa hiyo shule alitokea shule gan?,Aliiacha katika hali gan hiyo shule,?Hali za shule alizopita na kuziongoza aliziacha katika hali gan?Kibo secondary school inahali gan baada ya kumpa aisimamie? Kipindi anaenda pale Minja kulikuwa na wanafunzi wangapi, na leo wapo wangap?

Idara ya ufundi ipo au ameshaifuta?Wanafunzi weng wanalipa ada kwa namna gan ,benki au shulen?A level mbona haiwekei mkazo?Mbona TAHASUSI(COMBINATION)ya EGM,HGE kazfuta wanafunz wakahamia mwanga sec? Kuna walimu wangapi na wanalipwaje?Mishahara ya wafanya kazi inatolewa kwa wakati muafaka toka aingiepo hapo Minja ?Wafanyakaz wana mikataba?

Wafanyakazi wanafukuzwa kwa kufuata utaratibu kisheria ?Wanafunzi wanaofanya makosa kama kukamatwa na simu wanatozwa laki moja na nusu hiyo hela inaenda wapi?.Yeye elimu yake ikoje?kwa nini mwez wa tisa kipindi ukaguzi wa shule hizi alikimbia baadae juma tatu akaenda ofsi za chama na data ambazo uhalisia wake ungetofautia kama angekutwa ofsini?Kwa nini asiwepo wakati wa ukaguz wakat shule zingine mkuu na wafanyakazi wote walikuwepo maana taarifa ilitolewa mapema sana

Ni kwa uchache tu,.haya ni maswli ambayo yakifanyiwa uchunguzi utakuja kujua ukweli wa hata shule zingine zilizoko chini ya JUMUIYA YA WAZAZI CCM kama Kahunda,Lomwe,Kibo n.k
 
Kuna muda ukimskia mh Rais unahisi na kuona kuwa sisiem ndio inafanya vizuri, ukija kwa hawa watu wa chini sasa....
 
Rais yuko serious na mech lakin makamisaaa wanahangaikia matumbo yao tu.huko kwenye mashina kuna uozo mkubwa sana
 
HII SHULE ILIANZA KUHARIBIKA BAADA YA MKUU WA SHULE ALFRED YARED MFWANGAVO NA MWALIMU NDOVENI KUSTAAFU. ANZIA HAPO SHULE IMEKUWA KAMA MAHAME
 
Mwenyekiti ni mkali lakini kasahau taasisi za chama chake, mulikeni huyo mwalimu kiongozi.
 
huyo ni mkali kwa wale wanaotifautiana naye mawazo, ila kwa wezi wenzake ni mpole kama mbwa mbele ya chatu
 
siku atakapotambua magufuli nadhan atairejesha shule hii serikalin ,maana ina mandhari yake ni nzuri sana.Nasikia wanapga madili pale kama shamba la babu
 
Back
Top Bottom