Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaaaa ahaaaa, hao ni wale wanaliojua kusoma na kuandika wakiwa darasa la tano na kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaaaa ahaaaa, hao ni wale wanaliojua kusoma na kuandika wakiwa darasa la tano na kuendelea.
Haya wewe unatumia nini?
HAO SI WAGOMBEA WEMA, WANACHAFUA CHAMA ! CCM MPYA HAIHITAJI WATOA/WAPOKEA RUSHWA ! VIONGOZI WA CCM MKOA& WILAYA INABIDI WA CHIP IN HILI SUALA!CCM inawashukuru sana kwa kuanza kuwapigia promo wagombea wake huku wakwenu wakiwa hawajulikani kabisa.
Shida Kule Ukurya Mwingi. Huenda. Msangi akafeli kwa ajili ya hiloMm ni mpiga kura wa Ukonga. Kituo changu ni Dispensari-Matembele 1.
Mh Asia Msangi(CDM) ndiyo mbunge wetu 2020,labda ashindwe mwenyewe kulinda kura zake.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shida Kule Ukurya Mwingi.Huenda .Msangi akafeli kwa ajili ya hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhindi APUMZIKE , ITS TOO MUCH ....KAMA LIPUMBA. TANGU 2000 HADI LEO SNAGOMBEA TUU LOL ! WATUACHE WANA UKONGA, TUNAHITAJI SURA MPYA NA MAWAZO MAPYA ! AKINA CHACHA, SLAA, ASIA NK TUSHAWAONA TUMEWACHOKA !CCM atakaye shinda ni mhindi mbona(Kama ataweza na yy kulinda kura zake kutoka kwa Meya Slaa)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ccm na rushwa ni sawa na nyoka na sumu
Ukonga ni yetu mbunge wetu ni Asia Daudi msangi kwishiney
HAO SI WAGOMBEA WEMA, WANACHAFUA CHAMA ! CCM MPYA HAIHITAJI WATOA/WAPOKEA RUSHWA ! VIONGOZI WA CCM MKOA& WILAYA INABIDI WA CHIP IN HILI SUALA!
Hatutaki walevi tena Hapa tunataka Mbunge makini nae ni Asia Daudi Msangi.