tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
"Upinzani wa kweli utatoka CCM" Nyerere.
"Watu wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM" Nyerere.
Ni ukweli usiopingika kwamba mwaka 2015 ni mwaka alioutabiri baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mtake msitake mtadondoka.
Escrow itawatafuna na muhusika ni Mwenyekiti wenu, Richmond Kinara ni Mwenyekiti wenu japo mlimtoa kafara EL.
Una uhakika na kinena unacho?. Huyo mnaemtegemea lowasa ni mnafki tu na tamaa ya madaraka ndo ilomjaa. Alikuwa anaipinga katiba iliyokuwa inatetewa na Ukawa afu leo eti ndo anakuja ili aitetee hiyo katiba, huoni ni unafiki huo??! Hebu jieleweni basi nyie watu japo hata kwa akili ya kitoto.

Akili zako nu choo kila mtu anakunya tena kile cha public, hamna ndorobo kama wewe ila umebaki mmoja tu! Nitachagua UKAWA maana Ccm ulichonifanyia sijakiona, siwezi lazwa chini hospital dawa hamna! Wewe ukatibiwe marekani!! Mtoto wangu asome amekaa chini hata uji wa Dona hamna! Wewe wa kwako asome Australia tena kwa pesa uliotuibia! RIP Ccm, vilaza wameisha!mleta maada umejichambia mgomba afu mavi yakabaki!!! maisha bora? ulitaka uletewe mamilioni ndani umelala kwako? kajipangeni ccm haing'oki
ccm kushinndwa ni ndoto za mchana
mleta maada umejichambia mgomba afu mavi yakabaki!!! maisha bora? ulitaka uletewe mamilioni ndani umelala kwako? kajipangeni ccm haing'oki