Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,836
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi wote wa Tanzania, kinakwenda kuibuka na ushindi wa kishindo katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Na kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya CCM vya uteuzi, watia nia waliopigiwa kura za maoni na wajumbe watajadiliwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na kuthibitishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa mnamo Aug.23,2025, zikiwa zimesalia siku3 tu kabla ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu tume huru ya taifa ya uchaguzi kuhitimishwa rasmi. Hakuna muda wa kuvuka boda kwa watakaokasirika wakikatwa.
Kumbuka,
Uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani kulingana na tume huru ya uchaguzi Tanzania ni Aug.27,2025 na kampeni rasmi za uchaguzi mkuu ni Aug.28, 20925.
Jambo la muhimu kwa watia nia wa ccm ni kujiandaa kisaikolojia Aug.23,2025 wakati makala anafanya yake live.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.