stuartkifua
Member
- Apr 19, 2014
- 62
- 5
Hiyo ni kweli mkuu ndo mana hata mzee waukawa ameogopa mdahalo ili asianguke jukwaani na kupunguza kura zaidiNi wazi na ukweli uliopo kuwa uchaguzi huu chama cha mapinduzi kitashinda kwa urahis sana kuliko miaka yote na hii ni kutokana na watanzania wengi kuendelea kuwa na imani na chama hiki ingawa kama ni mgeni kwenye sisa ndo unaweza ukahemka
Kwanza vijana wengi mbali na ushabiki wengi hawatapiga kura
Pili na hata wakipiga watampigia Magufuli
Tatu wengi wa watanzania na hao vijana wanaojiita wana mabadiliko wana kadi mbili mbili za vyama na hii inaonyesha wana imani bado na chama tawala yaani CCM
Nne Mgombea wa Chama Tawala ana nguvu na ushawishi kwa watanzania wa aina zote
Ni wazi na ukweli uliopo kuwa uchaguzi huu chama cha mapinduzi kitashinda kwa urahis sana kuliko miaka yote na hii ni kutokana na watanzania wengi kuendelea kuwa na imani na chama hiki ingawa kama ni mgeni kwenye sisa ndo unaweza ukahemka

Nyie mbona mna harufu ya damu. Wajinga sana kwani unadhani vita ina macho. Ukileta shari vijana wa Mangu wanakushughulikia. Ccm ushindi ni lazimaBao la mkono la wapi tupo makini kinoma tutapigana mpaka kuche..mwaka huu lazima ccm itoke mkipiga bao la mkono sie tunawachapa mikono...wakala anaetaka kifo ajidai kupokea hela chafu..tutamchafua damu
Hiyo ni kweli mkuu ndo mana hata mzee waukawa ameogopa mdahalo ili asianguke jukwaani na kupunguza kura zaidi
Na mzee wa C*m hajatokea kwenye mdahalo pia. Yeye ameogopa nini?Hiyo ni kweli mkuu ndo mana hata mzee waukawa ameogopa mdahalo ili asianguke jukwaani na kupunguza kura zaidi
Nyie mbona mna harufu ya damu. Wajinga sana kwani unadhani vita ina macho. Ukileta shari vijana wa Mangu wanakushughulikia. Ccm ushindi ni lazima
Ni wazi na ukweli uliopo kuwa uchaguzi huu chama cha mapinduzi kitashinda kwa urahis sana kuliko miaka yote na hii ni kutokana na watanzania wengi kuendelea kuwa na imani na chama hiki ingawa kama ni mgeni kwenye sisa ndo unaweza ukahemka
Kwanza vijana wengi mbali na ushabiki wengi hawatapiga kura
Pili na hata wakipiga watampigia Magufuli
Tatu wengi wa watanzania na hao vijana wanaojiita wana mabadiliko wana kadi mbili mbili za vyama na hii inaonyesha wana imani bado na chama tawala yaani CCM
Nne Mgombea wa Chama Tawala ana nguvu na ushawishi kwa watanzania wa aina zote
Bora tunajitekenya na kucheka lakini ninyi mmepigwa ganzi hata mkitekenywa hamsikii.Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe hahahaaaaaa
Bora tunajitekenya na kucheka lakini ninyi mmepigwa ganzi hata mkitekenywa hamsikii.
Bao la mkono la wapi tupo makini kinoma tutapigana mpaka kuche..mwaka huu lazima ccm itoke mkipiga bao la mkono sie tunawachapa mikono...wakala anaetaka kifo ajidai kupokea hela chafu..tutamchafua damu
Mpigieni Lowasa za kumrudisha MonduliHata iweje...TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA KESHOKUTWA.