Uchaguzi 2020 CCM itashinda kwa kishindo kikubwa sana Arusha Mjini

“Wamechoka siasa za fujo, vurugu na maandamanko” - hiyo ni sentensi moja uliyoandika kwenye bandiko.

Unazungumzia miaka gani?? Nikukumbushe - uliyoyasema yalitokea kabla ya uchaguzi wa 2015 na Lema bado alishinda. Toka 2015 hakujawa hata na mkutano wa hadhara ukioruhusiwa na Polisi! Unazungumzia Arusha ipi??

Haikusaidii kudanganya. Timiza wajibu wako, piga kura kumchagua unayemtaka!!
 
Arusha jimbo la Chadema.....wewe na Mrisho wako subirini muone
 
Walikuwa pamoja na Lema sasa huo umati ulikuwa wa CCM kwa vipi? Danganya wajinga wenzio. Kwani matokeo si yatatoka kwenye sanduku la kura? Subiri uchaguzi usijifarague.
 
Walikuwa pamoja na Lema sasa huo umati ulikuwa wa CCM kwa vipi? Danganya wajinga wenzio. Kwani matokeo si yatatoka kwenye sanduku la kura? Subiri uchaguzi usijifarague.
Mna hasira kweli kipindi hiki. Poleni. Umati ulianzia CCM wilaya, Lema alikuwepo?
 
Mna hasira kweli kipindi hiki. Poleni. Umati ulianzia CCM wilaya, Lema alikuwepo?
Sina shida na CCM wilayani au mbinguni, nazungumzia urejeshaji wa fomu za wagombea wakiwa wote ofisi za msimamizi wa tume. Nyomi ya CCM huko huko CCM.
 
Moto wa samunge ulitokea lini?? Nasema malalamiko ni Mengi, hayo ni kwa uchache Sana.
 
Lema sio mbunge ni msela,na bungeni awatakiwi wasela.wanatakiwa wachapa kazi kama Mrisho Gambo.
 
Unaota ndoto ya mchana
 
Subirini kmpeni zianze muambiwe ni nani akichoma hilo soko ili mumuone ana msaada kwenu. Subirini mjulishwe ni nani alie kuwa ana choma shule zenu. Msiwaone wana siasa wa Ccm mkadhani ni watu wema. Mna waona hivyo kwa sababu ya shida na njaa zenu ila hawa ni mafisi maji. Mchana wana kuchekea usiku wana kuchoma.
 
Kwani wewe hukuona matangazo ya kuomba kusindikizwa mgombea wa CCM? Watanzania tumeumbwa na utu hivyo mtu akiomba kusindikizwa Kama jirani yetu tunamsindikiza lakini njoo uone tutakachomfanya 28 October hautaamini.
Hata uzinduzi wao utakao fanyika Dodoma jumamosi wameshaanza kupitisha bakuli kuomba magari ya kusomba watu, na kuwaomba wafanya biashara walio teswa miaka mitano wachangie gharama.
Nyomi ya Lissu hivi mlisikia kuna walio pewa usafiri au pesa?? Mapenzi ya maigizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…