Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mavumbin tutatejeaHuu utawala umejaa dhuluma. Naamini ipo siku watajutia matendo yao.
Nianze kwa kutoa pole kwa viongozi wa upinzani na wanachama, kiukweli inaumiza sana, nchi haina demokrasia tena, hakuna tume huru hakuna ahueni kwa wagombea wa upinzani, mpaka sasa kwenye chaguz ndogo za udiwani, tayari CCM kwakushirikiana na tume ya uchaguzi ishafanya rafu amabapo karibu Madiwan 30 wa ccm washapita bila kupingwa wanasubiri kuapishwa, .Madiwani wa chadema na upinzan hasa, wanachofanyiwa hakiridhishi kwasisi wapenda haki, diwani wa chadema anaambiwa aandike neno ZINJANTHROPUS akishindwa tu anaambiwa Hajui kusoma wala kuandika, hivo hana vigezi, wa CCM anapitishwa bila kupingwa,
Kama mnakumbuka JIWE alishawahi kusema Haiwezekani Awachague wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa halafu wampitishe mgombea wa upinzani,
Na kwa uoga walionao viongozi, wateule wa bwana JIWE, sioni ni mkurugenzi gani, atawafanyia fair upinzani, anagalau wapite maana ikitokea Upinzani umepita kwenye eneo lako Itabidi uwajibishwe au kibarua kiote nyasi, kwa staili hii Naona Upinzani ukifa kibudu kama Viongozi na wanachama hawatachukua hatua madhubuti,
Kwasasa imekuwa kama maigizo, Chadema wamekuwa wakisusia uchaguz mpaka Kasoro zirekebishwe, lakin MA CCM hayarekebishi hata neno moja,
Chadema wanarud tena na kuanza kufanya uchaguzi, hawachukui hatua zozote, Tumeona yaliyotokea Siha, kinondoni, MA CCM yapo tayari damu imwagike ila wapinzani wasipate kitu.
Hii yote ni trela ya uchaguz wa 2020,
Naiona rafu kubwa ikichezwa hasa kwa wabunge nguzo za upinzani, naiona CCM ikijitangazia ushindi wa 99% hadi 100%
Tumeshaona Zitto akiandaliwa kisaikolojia atafute kazi nyingine, tumeona Msigwa akiwa njia panda na kuanza kujipelekapeleka ccm labda watamuhurumia, .
MBOWE KAMA MWENYEKITI CHUKUA HATUA MADHUBUTI, UPINZANI UNAULIWA MIKONONI MWAKO, MASHINJI UMEJIFICHA WAPI?
Sikubaliani na wewe kwa kulaumu utawala, mimi nawalaumu Watanzania. Ukimkuta mtu amechagua kwa hiari yake kuishi ndani ya nyumba chafu, hatakiwi kuanza kuwalaumu nzi, viroboto, kunguni na chawa...ajifunze tu kuishi nao kwani uchafu ndio mitaji yao.Huu utawala umejaa dhuluma. Naamini ipo siku watajutia matendo yao.
Mkuu, hivi tulichagua au kuna waliotuchagulia?Sikubaliani na wewe kwa kulaumu utawala, mimi nawalaumu Watanzania. Ukimkuta mtu amechagua kwa hiari yake kuishi ndani ya nyumba chafu, hatakiwi kuanza kuwalaumu nzi, viroboto, kunguni na chawa...uchafu ndio mitaji yao.
Jenerali Ulimwengu alitupa usia...ukichagua hovyo usianze kulalamika hovyo unapotendewa hovyo. Ukilikoroga kwa kuchagua hovyo uwe tayari kulinywa hata likiwa chungu kiasi gani...kwetu Watanzania hizi tunazoziona kama dhulma ni rash rasha tu, za vuli ziko njiani kwani vichaa tunazidi kuwapa marungu makubwa zaidi kila siku!
Na fair haipoMbowe atachukua hatua gani? Kumbuka bunge,mahakama,police,jeshi,magereza na tume ya uchaguzi vipo chini yao ndio maana wanafanya lolote walitakalo......demokrasia itakuwepo endapo magufuli atawaonea huruma wapinzani kinyume na hapo tusitegemee fair play
Ni bora tungekaa pembeni kwenye chaguzi hizi za kilofa
Ngoja tusubiri yajayo maana hata Mimi nimepanga kupiga kuraNianze kwa kutoa pole kwa viongozi wa upinzani na wanachama, kiukweli inaumiza sana, nchi haina demokrasia tena, hakuna tume huru hakuna ahueni kwa wagombea wa upinzani, mpaka sasa kwenye chaguz ndogo za udiwani, tayari CCM kwakushirikiana na tume ya uchaguzi ishafanya rafu amabapo karibu Madiwan 30 wa ccm washapita bila kupingwa wanasubiri kuapishwa, .Madiwani wa chadema na upinzan hasa, wanachofanyiwa hakiridhishi kwasisi wapenda haki, diwani wa chadema anaambiwa aandike neno ZINJANTHROPUS akishindwa tu anaambiwa Hajui kusoma wala kuandika, hivo hana vigezi, wa CCM anapitishwa bila kupingwa,
Kama mnakumbuka JIWE alishawahi kusema Haiwezekani Awachague wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa halafu wampitishe mgombea wa upinzani,
Na kwa uoga walionao viongozi, wateule wa bwana JIWE, sioni ni mkurugenzi gani, atawafanyia fair upinzani, anagalau wapite maana ikitokea Upinzani umepita kwenye eneo lako Itabidi uwajibishwe au kibarua kiote nyasi, kwa staili hii Naona Upinzani ukifa kibudu kama Viongozi na wanachama hawatachukua hatua madhubuti,
Kwasasa imekuwa kama maigizo, Chadema wamekuwa wakisusia uchaguz mpaka Kasoro zirekebishwe, lakin MA CCM hayarekebishi hata neno moja,
Chadema wanarud tena na kuanza kufanya uchaguzi, hawachukui hatua zozote, Tumeona yaliyotokea Siha, kinondoni, MA CCM yapo tayari damu imwagike ila wapinzani wasipate kitu.
Hii yote ni trela ya uchaguz wa 2020,
Naiona rafu kubwa ikichezwa hasa kwa wabunge nguzo za upinzani, naiona CCM ikijitangazia ushindi wa 99% hadi 100%
Tumeshaona Zitto akiandaliwa kisaikolojia atafute kazi nyingine, tumeona Msigwa akiwa njia panda na kuanza kujipelekapeleka ccm labda watamuhurumia, .
MBOWE KAMA MWENYEKITI CHUKUA HATUA MADHUBUTI, UPINZANI UNAULIWA MIKONONI MWAKO, MASHINJI UMEJIFICHA WAPI?
Mkuu huko Zanzibar akina JECHA walipindua matokeo ya uraisi juu-chini sembuse huu wa madiwani na wabunge?? Kwa kifupi huwezi kuwalaumu wapinzani huku kila muhimili upo chini ya ccm.I agree with your comments. Lakn nafkri ni shida kwa upinzani pia. kuna sehemu upinzani wanaonesha ulegevu kiasi fulani. Kwa mfano haingii aakilini kwa Tz kuwaweka wakurugenzi wa H/ mashauri/ miji / Mjiji kuwa ni wakala wa NEC kwa sababu ya kuonesha sura mbili na kuonesha loyalty kwa aliyemteua. Igizeni mfano wa zanzibar ambako wasimamizi wa uchagzui huomba kusimamia kwenye uchaguzi na sio kuwatumia wakurugenzi wa miji na H/ mashauri.
Inapendeza zaidi kama wasimamizi wakawa ni watu huru na ikiwezekana wasiwe watumishi wa serikali ili kuepuka vitimbi kama hivi tunavyoshudia wakifanyiwa wapinzani ktk uchaguzi wa madiwani.
Hapa wapinzani lazima wajitahidi kupaza sauti ili NEC iweke utaratibu maridhawa wakusimamia uchagzui na waache mara moja kuwatumia watendaji wa H/ mashauri. Kauli za mkuu wa kaya alizozitoa zinania ya kuwatisha watendaji wa H/ mashauri ili waendelee kubinya upinzani.
Hhaaaaa kweli walipindua juu chiniMkuu huko Zanzibar akina JECHA walipindua matokeo ya uraisi juu-chini sembuse huu wa madiwani na wabunge?? Kwa kifupi huwezi kuwalaumu wapinzani huku kila muhimili upo chini ya ccm.
Katiba yenyewe ni magumashi usitegemee democracy nchi hii
Kwani inashindana kinamna gani mpaka useme itashinda?Nianze kwa kutoa pole kwa viongozi wa upinzani na wanachama, kiukweli inaumiza sana, nchi haina demokrasia tena, hakuna tume huru hakuna ahueni kwa wagombea wa upinzani, mpaka sasa kwenye chaguz ndogo za udiwani, tayari CCM kwakushirikiana na tume ya uchaguzi ishafanya rafu amabapo karibu Madiwan 30 wa ccm washapita bila kupingwa wanasubiri kuapishwa, .Madiwani wa chadema na upinzan hasa, wanachofanyiwa hakiridhishi kwasisi wapenda haki, diwani wa chadema anaambiwa aandike neno ZINJANTHROPUS akishindwa tu anaambiwa Hajui kusoma wala kuandika, hivo hana vigezi, wa CCM anapitishwa bila kupingwa,
Kama mnakumbuka JIWE alishawahi kusema Haiwezekani Awachague wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa halafu wampitishe mgombea wa upinzani,
Na kwa uoga walionao viongozi, wateule wa bwana JIWE, sioni ni mkurugenzi gani, atawafanyia fair upinzani, anagalau wapite maana ikitokea Upinzani umepita kwenye eneo lako Itabidi uwajibishwe au kibarua kiote nyasi, kwa staili hii Naona Upinzani ukifa kibudu kama Viongozi na wanachama hawatachukua hatua madhubuti,
Kwasasa imekuwa kama maigizo, Chadema wamekuwa wakisusia uchaguz mpaka Kasoro zirekebishwe, lakin MA CCM hayarekebishi hata neno moja,
Chadema wanarud tena na kuanza kufanya uchaguzi, hawachukui hatua zozote, Tumeona yaliyotokea Siha, kinondoni, MA CCM yapo tayari damu imwagike ila wapinzani wasipate kitu.
Hii yote ni trela ya uchaguz wa 2020,
Naiona rafu kubwa ikichezwa hasa kwa wabunge nguzo za upinzani, naiona CCM ikijitangazia ushindi wa 99% hadi 100%
Tumeshaona Zitto akiandaliwa kisaikolojia atafute kazi nyingine, tumeona Msigwa akiwa njia panda na kuanza kujipelekapeleka ccm labda watamuhurumia, .
MBOWE KAMA MWENYEKITI CHUKUA HATUA MADHUBUTI, UPINZANI UNAULIWA MIKONONI MWAKO, MASHINJI UMEJIFICHA WAPI?
Kwa hali hii hata Keagan maranja albert bashite atakuja kutuongoza, maana sion upinzani ukitoboa
Iwaonee huruma watanzania sio wapinzani.Mbowe atachukua hatua gani? Kumbuka bunge,mahakama,police,jeshi,magereza na tume ya uchaguzi vipo chini yao ndio maana wanafanya lolote walitakalo......demokrasia itakuwepo endapo magufuli atawaonea huruma wapinzani kinyume na hapo tusitegemee fair play
Ni bora tungekaa pembeni kwenye chaguzi hizi za kilofa