Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Kutokana na hali ya sintofahamu ndani ya chama cha mapinduzi, CCM itakufa mapema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kama hawatakubali kubadilika. Kwasasa CCM wao wanapambanana na watu na sio kupambanana na Sera. Kinachotengenezwa ndani ya CCM ni kujifanya wanainua vijana wapya kwa kushindana na upinzani kumbe wanapotea, chama hakijengwi kwa msingi wa kupambanisha bali chama kinajengwa kwa msingi wa sera na kuziishi.
Kumpamba mtu kwa sifa sio kwamba ndio anafaa kuwa kiongozi anaweza hata akawa mbabaishaji na akapambwa akaonekana mzuri, CCM kinachoendelea kwa sasa ni kuua chama na wao kugawana rasilimali zao na kutafuta uelekeo, kwasasa chama hakina mshauri kila mtu kawa mshauri na wengine hawataki kushauriwa mpaka fulani aseme.
CCM inaweza kufa mapema nakubakia na Mwenyekiti na Team yake kama hawatabadili mfumo wa kimtazamo, wengi wanashabikia tu bila kujua madhara ya wanachoshabikia kisa tunataka kumfunika kijana fulani tuliyemzika kimazingara kule Mkoani Mwanza ili tuinue mwingine na yule kijana adharaulike. Hatuendi hivyo ila kama tunataka kuanguka twendeni hivyo.
Jakaya Kikwete ndio mwenye machungu sana na chama kwa sasa maana yeye ndio mapema tu amekikabidhi kwa mrithi wake na kinapoanguka yeye ndio wa kulaumiwa maana uangalizi wa ulezi kiuhalisia uko kwake, na maanisha kuwa yeye ndio baba aliyekabidhi mikoba kwa mrithi wake yote miwili ya Urais na uenyekiti, hivyo mtoto anapoanguka tunaangalia baba katelekeza wapi.
Rai yangu ni kuwa Mwenyekiti mpya Mh. Magufuli sio kwamba ameshindwa bali anafanya vizuri sana, tatizo CCM wanamfumo bambika uongo ambao unaweza kusababisha kuanguka kwa mwenyekiti mpya na chama kusambaratika. Mimi nilipokamtwa kwa kesi ya mitandao ya kijamii hapa mwanza CCM walifanya sherehe kubwa ya kula na kunywa wakisema Deo Kisandu tumeshammaliza na tunazuia midhamana yote, ona sasa mnapambana na watu badala ya kupambana na hoja.
sina mengi zaidi endeleeeni kutoa Tuzo za heshima huku chama kina kufa.
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama cha ACA tarajiwa.