Sasa wapinzani wana miradi gani ya kufungaHivyo ndivyo itakavyokuwa. Kwa maelezo ya kufungua miradi nk viongozi wakuu wa serikali ya CCM wakiwemo Rais, makamo wake na Waziri mkuu wataendelea kupiga siasa za kuimarisha chama chao huku wapinzani wamekatazwa.
Awaite mezani wapinzani ili iweje,yaani msuse wenyewe halafu mtegemee kuitwa?,zama hizo zimepitainauma sana, na nilivyomskia jana sion dalil ya kuwaita mezan wapinzan
Hata wapinzani kuna maeneo wameshida. Ni ruksa kwenda kukutana na waliokuchaguwa ili uwaeleze yaliyopangwa na serikali kufanywa katika eneo husika ama jimbo au kata. Pia lazima ueleze wapiga kura wako namna unavyokabiliana na changamoto mbalimbali. Lazima uwambia wananchi maji, umeme, elimu, barabara, mikopo, na usalama katika eneo lako serikali imefikia hatua gani na kunachangamoto zipi na zitatuliwe vipi.Sasa wapinzani wana miradi gani ya kufunga
ishu sio kususa na kama wote tutakua na wazo moja nadhan tusingekua na vyama vingi, pia kumbuka kususia kitu ni moja ya demokrasiaAwaite mezani wapinzani ili iweje,yaani msuse wenyewe halafu mtegemee kuitwa?,zama hizo zimepita