Goli la mkono lazima liandaliwe mapema, na ndiyo maana ile cross ilipigwa upande wa kushoto na Diego Maradona akaruka hakuufikia mpira ikabidi aongezee mkono kidogoo tu - Waingeleza wakawa wamelia kilio cha mbwa mwizi.
Sasa hizo cross ndiyo akina Twaweza, Synovate na wengineo wengi watakaojitokeza, ili kujaribu kuhadaa watazamaji wa mpambano (wapiga kura) na Marefa (Tume ya uchaguzi) kwamba kama ikitokea likafungwa watu washishangae.
Lakini ki-uhalisia ndugu zangu, tukiweka ushabiki kando wa kisiasa - Lowassa anatisha!! anakubalika na hana mpinzani!! h